mei mosi 2026

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yadhamini Mei Mosi 2026, yashiriki kikamilifu

    Na Mwandishi Wetu Njombe. CRDB Bank Plc imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuunga mkono wafanyakazi na maendeleo ya taifa kwa kudhamini na kushiriki kikamilifu maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kwa mwaka 2026 yaliyofanyika kitaifa mkoani Njombe. Maadhimisho hayo yameongozwa na Rais...
  2. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: TUCTA hawakuja na madai mapya. Kadri uchumi wetu unavyoimarika, tutaendelea kuboresha maslahi ya wafanyakazi wetu

    Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa Kitaifa Mkoani Njombe, leo tarehe 1 Mei, 2026 amesema kuwa mwaka huu hakutakuwa na maboresho ya maslahi ya wafanyakazi kwasababu mbalimbali ambazo ametaka kuwa TUCTA hawakuja na madai mapya bali...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuhutubia taifa siku ya kesho Mei Mosi (1 Mei, 2026)

    Ndugu zangu Watanzania, Siku ya Kesho ni Siku Ambayo Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anakwenda kuzungumza na Taifa na Dunia nzima kwa ujumla wake. Ni Siku Ambayo Mama yetu na Rais wetu Mbeba Maono na Moyo Wa Taifa letu...
Back
Top Bottom