Mass media in Tanzania includes print, radio, television, and the Internet. The "Tanzania Communications Regulatory Act" of 2003 created the Tanzania Communications Regulatory Authority, which oversees broadcast licensing. The Media Council of Tanzania began in 1995.
Hatujui Kombo kapewa taarifa gani, lkn yumkini itakuwa ni kuhusiana na mauaji ya 29/10 na kesi iliyofunguliwa ICC.
Waliokuwa wanasema hakuna kesi iliyofunguliwa ICC na kudhani mambo yataisha, business as usual wafikirie upya.
==========
On the margins of the #AUSummit in Addis Ababa, #ICC...
WanaJF habari za wakati?
Nimeamka Leo tangu asubuhi kwa ajili ya harakati za hapa na pale , ghafura nashangaa Simu yangu inakua nzito kwenye upande wa mtandao, Whatsapp nikituma message haziendi, Facebook same to Instagram hili jambo limenishangaza sana mpaka nimejiuliza labda bando limeisha...
Watch live, kipindi cha Mizani on TBC M/Kiti wa TEF - Deodatus Bslile, M/Kiti MISA Tan - Salome Kitomari, na Mhadhiri SJMC - Dr. Mkoko wakichambua Media ya Tanzania.
https://www.youtube.com/live/tmV6-5pXEQw?si=DxANnu0qNajL6iLf
Karibu.
Paskali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.