Kwa maoni ya wabobevu katika siasa za Tanzania, wanaeleza bayana kwamba chama hicho kamwe hakiwezi kuamka wala kufurukuta tena kisiasa nchini Tanzania, na wala hakiaminiki tena mbele ya umma.
CHADEMA imekua kituo cha vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, kumechefua wanazuoni wengi, na pia...
Maana mipango mikakati yake yote ya kujiimarisha kama vile mpango wa kuomba omba pesa za kujikimu kwa viongozi maarufu kama tone tone kidigitali na kwenye kibakuli imekauka, mpango nonsense wa no reform no elections haijulikani tena kama upo au hauko, mkakati wa uropokaji mikutanoni n.k...
Tuwe wakweli ndugu zangu, kazi ya kujenga taasisi na ikasimama vizuri ni ngumu sana, na inahitaji ustahimilivu, weledi, maarifa, hekima na busara za kiwango cha juu sana kuiendeleza.
Tundu Lisu alikua Rais wa TLS, na alitumia style na aina hii hii ya uongozi kujaribu kuibomoa TLS kwa kuropoka...
Chadema imejichimbia kaburi lake yenyewe na imetumbukia shimino na kujizika yenyewe.
Ni upande yupi wa kulaumiwa katika mauaji haya ya kikatili kwa uhai wa chadema kisiasa?
Ni G55 au ule upande wa no reform no elections?
Je,
ni kweli kiburi, kudeka na kutegemea huruma za wananchi, kukurupuka...
Hatukupoa, hatupoi na moto ni uleule
Hakuna nguvu yoyote kubwa inayotumika.. Ni asili imeamua kuchukua mkondo wake.. Imagine hata makada maarufu wa mbogamboga wametekwa bila hiari na CHADEMA.. Kutwa kucha ni CHADEMA midomoni na akilini mwao
CCM ni kama kama mgonjwa aliye chumba cha mahututi...
Huyu Edwin odemba ana mapungufu upstairs, mwanaume gani unalia hadharani?
Halafu inaonekana alitaka kuwazoea zoea sana viongozi, hana elimu wala uwezo wa kumhoji hata mwenyekiti wa mtaa wa CCM anawezaje akaongoza mdahalo na Katibu Mkuu wa chama cha Mapinduzi, chama cha Nyerere?
Ana elimu kiasi...
Hatimaye kwa masikitiko makubwa, Mdahalo wa makatibu wakuu wa vyama vya siasa nchini umeahirishwa kutokana na wahusika kuingia mitini!
Mbona kwa nchi za wenzetu haya mambo yanawezekana na yanafanyika vizuri kabisa? Kwanini sio huku kwetu? Je, ni uoga? Chuki? Kutokujiamini? Kukosa sera?
PIA...
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko amekwepa kujibu swali kuhusu nani aliyehusika katika madai ya utekaji wa Edgar Mwakabela, maarufu Sativa.
Bomboka alikwepa swali hilo akiwa katika kipindi cha Medani za siasa cha runinga ya Star TV, huku akieleza kuwa wajibu wa Serikali ni kulinda raia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.