Timu ya Simba pokeeni ushauri huu.
Kwa kuwa mna kikosi kipana na kizuri, tumieni kikosi cha pili kucheza na Yanga.
Kwa nini?
1. Katika kipindi hichi ambacho mmepata mafanikio timu ya Yanga itakamia mechi ili kuonyesha kuwa na wao ni bora.
2. Ikiwa mechi hii ikamiwa hivyo inaweza kuwaacha na...