mechi ya derby

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kavulata

    Nilichojifunza kutoka waamuzi wa Misri walioamua mechi ya derby

    Kumbe waamuzi wetu wengi ni wapuliza filimbi sio waamuzi. Waamuzi wetu wanapuliza filimbi nyingi sana kuliko inavyosrahili. Waamuzi wa Misri wametuonyesha kuwa mpira wa miguu ni mchezo wa kutumia nguvu, hivyo sio Kila msukumano wa wachezaji unahitaji filimbi. Filimbi nyingi zinazalisha timu...
  2. M

    Nawaonya Simba, Serikali imeshapanga mechi ya derby ni tarehe 25.06.25 , Ole wake atokee mtu aongee kitu au kupinga Atashughulikiwa Ipasavyo.

    Ndio nimeona timu ya Simba Sports Club , almaarufu Makolo FC wameweka Mgomo Baridi na hii nimejua kupitia mambo mawili, la kwanza Simba hawajapost wala kutoa taarifa kwa Umma kuwa Derby imesogezwa mpaka tarehe 25.06.2025. Pia nimeona kupitia Comments za mashabiki mbalimbali wa Simba wakiwa na...
  3. M

    Kwa mwenendo wa Ligi Simba ni Bingwa NBC - Na refa ndo atatoa penalt za ushindi mechi ya derby

    Kwa mwenendo wa ligi kuu ya benki ya nbc unavyoondelea bila shaka kila mmoja ameona , na anaweza kuona kuwa bingwa tayari anajulikana. Ni hivi kabla ya derby simba atakuwa na point 78 na yanga atakuwa na point 79 hivyo mshindi ataamuliwa na mechi derby , ambayo pia mechi hiyo itaamuliwa na...
  4. ngara23

    KUMBUKIZI: Ni mwezi umepita yangu Simba akimbie mechi ya derby

    Leo tarehe 4 April ni mwezi umepita ambapo Simba alikimbia mechi,tarehe 8 March Sababu za kukimbia mechi ni uoga uliowajaa Simba kutokana na wachezaji wao wenye unafuu kuwa na majeraha kama Che maloni, Camara na Ngoma Simba walishirikiana na Bodi ya ligi pamoja na TFF kuhujumu derby bila...
  5. Morning Glory1

    Za ndaaaaani:Serikali inahusika kwenye sakata la kuahirisha mechi ya derby

    Kabla ya kutiririka naomba kunukuu -Ukimuona mtu mzima analia ujue kuna jambo -ukimuona mbwa juu ya mti ujue hajapanda mwenyewe huyo ila kuna mtu amempandisha Kuna taarifa za kiintelejensia zimeibuka na zinadai kwamba kuna kiongozi mmoja wa ngazi ya juu pale wizarani ndiye aliehusika...
  6. Waufukweni

    Mangungu: Kikao chetu Simba tumejadili maendeleo ya mpira, siyo mjadala wa mechi ya dabi

    Murtaza Mangungu mwenyekiti wa Simba SC baada ya kutoka Kikaoni na Serikali, TFF na Bodi ya Ligi amesema; "Kikao chetu sisi kimejadili maendeleo ya mpira hakijajadili walichojadiana na wenzetu, tungejadili mechi yetu tungeitwa kwa pamoja ila mamlaka si ilishasema mechi yetu itapangiwa tarehe...
  7. funaku

    Yanga wana haki ya kususia ligi na kudai fidia iwapo mechi ya derby haitachezwa

    Kama ni kweli makomandoo walizuia wazee walioambatana na mbuzi kuingia uwanjani.... Kama kweli polisi walishindwa kuwadhibiti makomandoo.... Kama kweli hakuna tukio lililoripotiwa polisi kuhusu sakata hili .... Bila shaka Yanga inapaswa kuweka msimamo imara dhidi ya uhuni kwenye soka
  8. Holoholo

    Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

    Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha leo Machi 8, 2025, ilipitia shauri la klabu ya Simba kuzuiliwa kuingia kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kufanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC (Young Africans SC vs...
  9. Dabil

    Refa yupi anafaa zaidi achezeshe mechi ya Derby ya Kariakoo ya tarehe 19 Oktaba 2024?

    1. Ramadhan Kayoko 2.Herry Sassi 3.Arajiga. Kwenye hao watatu ningependa Arajiga awe mwamuzi wa kati.
  10. mdukuzi

    Tetesi: Jonas Mkude alivyowaponza wachezaji watano wa Simba kwa tuhuma za kuuza mechi ya derby

    Ile mechi ya derby Simba anakufa goli 5 haikuiacha timu salama. Inadaiwa Wachezaji 5 wa Simba, Chana, Manula, Saidoo, Inonga na Baleke, walituhumiwa kupokea kiasi kikubwa cha pesa toka jangwani. Muhusika mkuu aliyefanikisha hiyo miamala anadaiwa kuwa ni Jonas Mkude ambaye uongozi wa Simba...
  11. Dabil

    Nashauri mechi ya derby ichezeshwe na refa kutoka nje

    Hii mechi ya ngao ya jamii tarehe 8 ingetakiwa TFF na bodi ya ligi wamlete refari kutoka nje ambaye ana uzoefu mkubwa ili kuepuka lawama na kasoro za upendeleo wa wazi kama wanavyofanyaa marefa wa ndani hasa Kayoko na Arajiga, inashindikana nini mbona mechi ya Al Ahly na Zamalek ilikuwa...
  12. Labani og

    Uchambuzi: Yanga ilipanga kupoteza mechi ya derby

    Salam wakuu Katika ulimwengu wa uchumi Kuna kitu kinaitwa opportunity cost ambapo una sacrifice kimoja Ili kupata kingine Turudi kwenye uchambuzi wetu Katika kipindi hiki Yanga ilikuwa inapitia kipindi kugumu mno kutokana na mechi ilizonazo pale mjini CAF hivyo kwenye ulimwengu wetu ilipaswa...
Back
Top Bottom