mchinjita

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bawabu wa pili

    Mchinjita: Wananchi wawe wa kwanza kulinda haki zao sio viongozi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo bara, Isihaka Mchinjita, ametoa wito kwa Watanzania kutokubali kukata tamaa kufuatia matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, akisisitiza kuwa silaha kubwa ya "mkandamizaji" ni kuuvunja moyo na mtazamo wa wanaokandamizwa. Akizungumza jana, Januari...
  2. Just Pray

    PostGE2025 Mchinjita: Hakuna matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 kwenye Gazeti la Serikali

    Makamu Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo bara, Isihaka Mchinjita, amehoji ukimya wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kushindwa kuchapisha matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kwenye Gazeti la Serikali, akidai kuwa muda wa kisheria wa kufanya hivyo umeshafika ukomo. Akizungumza...
  3. DuaZaMama

    GE2025 Mchinjita: Tulipigwa mabomu ya machozi wakati tunajiandaa kwenda kwenye mkutano

    Isihaka Mchinjita, Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, amefunguka kuhusu tukio la kukamatwa kwake na Jeshi la Polisi, akidai kuwa walitumia mabomu wakati wa kumkamata—kauli ambayo imezua mjadala mpana kuhusu haki za kisiasa na uhuru wa viongozi wa upinzani.
  4. Just Pray

    GE2025 Mchinjita: Ulikuwa ukisikiliza upande wa Mbowe, ni kama Lissu hafai hata kuwa mwenyekiti wa kijiji

    Isihaka Mchinjita, Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Bara, amesema kuwa wakati wa kampeni za ndani ya CHADEMA za kumtafuta Mwenyekiti, taswira ya chama iliharibika sana kutokana na makundi ya ndani kushambuliana vikali. Ameeleza kuwa moja ya mambo yaliyoumiza zaidi ni namna kundi la Mbowe...
  5. Just Pray

    Mchinjita: Kasi ya ongezeko deni la taifa chini ya Rais Samia haijawahi kutokea tangu nchi yetu ipate uhuru

    "Hadi kufikia Aprili 2025 deni la Serikali limefikia shilingi trilioni 107.70 ikilinganishwa na shilingi trilioni 91.7Machi mwaka 2024. Hili ni ongezeko la shilingi trilioni 16. sawa na 17.23% kutoka mwaka wa Fedha uliopita. Ambapo Deni la Nje ni Trilioni 72.94 na Deni la Ndani ni Trilioni 34.76...
  6. Roving Journalist

    PreGE2025 Sheikh Ponda: Tushiriki Uchaguzi, Piga kura kisha Linda Kura yako

    Ponda, Ado, Dorothy, Mchinjita wanaunguruma ndani ya Viunga vya Manzese, Juni 18, 2025 https://www.youtube.com/live/hZcBbjT8OhM "Safari hii tutatangazwa watake wasitake! Wabunge wa upinzani huenda bungeni kwa nguvu ya ulinzi wa kura. Kupiga kura ni haki, na kulinda kura pia ni haki." Naibu...
  7. Dalton elijah

    PreGE2025 Makamu Mwenyekiti wa ACT, Isihaka Mchinjita akamatwa na Polisi kwa kutembelea na kukagua Kituo cha Mwendokasi Kimara Mwisho

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Isihaka Mchinjita amekamatwa na Jeshi la Polisi asubuhi ya leo (Mei 23, 2025) baada ya kuingia kwenye Kituo cha Mwendokasi cha Kimara Mwisho kwa ajili ya kujionea adha ya usafiri huo. Mchinjita aliyeambatana na Waandishi wa Habari muda huu yeye na...
  8. ACT Wazalendo

    PreGE2025 Mchinjita: Mwaka 2025 ni Mwaka wa Mabadiliko

    Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Bwana Isihaka Mchinjita amesema mwaka 2025 ni mwaka kuhakikisha kuwa vijana wa Tanzania hawatalia tena kutokana na ukosefu wa ajira na unyonyaji kazini. Maneno hayo ameyasema leo Aprili 04, 2025 katika...
  9. JamiiCheck

    KWELI PreGE2025 Mchinjita: Mchango wa wakulima kwenye pato la taifa ni 26%, bajeti iliyopangwa 2024/2025 ni shilingi trilioni 49

    Mchinjita alikuwa na mkutano wa hadhara mkoani Mtwara ambapo amezungumzia masuala mbalimbali, tazama hapa hotuba yote.
  10. J

    Maelezo ya Isihaka Mchinjita na Tundu Lissu, yanaashiria CCM ina magenge ya kihalifu. Je, vyombo vya dola vitathubutu kuyakabili?

    ..Nimesikiliza maeneo ya Isihaka Mchinjita kuhusu purukushani walizopitia wanachama wao mkoani Lindi. Vilevile nimesikiliza maelezo ya Tundu Lissu akiwa ktk msiba wa kada wa Chadema aliyeuwawa wilayani Manyoni. Maelezo yao yanaashiria kwamba CCM wana magenge ya watu wenye silaha yanayofanya...
  11. Papaa Mobimba

    LGE2024 Isihaka Mchinjita: Suluhisho la kudumu la kumaliza migogoro ya wakulima na wafugaji ni kuiondoa CCM madarakani

    Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo @ACTwazalendo Bara, Isihaka Mchinjita @MchinjitaIR, amesema kuwa suluhisho la kudumu la kumaliza migogoro ya wakulima na wafugaji ni kukiondoa madarakani Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambacho anadai ndicho chanzo cha matatizo hayo. Akihutubia wakazi wa kijiji cha...
  12. Roving Journalist

    Mchinjita: Rais Samia atambue Kibao alivyotekwa na kuuawa, inaonesha mauaji yamefikia levo nyingine Nchini

    Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita akiwa katika Jimbo la Ubungo Jijini Dar es Salaam, kwenye ziara ya chama chake, ametoa kauli akimjibu Rais Samia, kufuatia hotuba aliyoitoa Rais Samia wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi. Kiongozi huyu wa ACT Wazalendo...
  13. Suley2019

    PreGE2025 Mchinjita: ACT Wazalendo haitumikii CCM tulimpa nafasi Rais Samia lakini hajatekeleza

    Chama cha ACT Wazalendo kimesema hakijawahi kutumika na CCM kama ambavyo inasemwa na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani hapa nchini badala yake chama hicho kimekuwa mstari wa mbele kusimamia ajenda inazoziamini pale inapoona kuna mambo hayako sawa Makamu Mwenyekiti wa ACT...
Back
Top Bottom