Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeitaka Klabu ya Yanga kujiepusha na Siasa na kurejesha Shilingi milioni 100 zinazodaiwa kuchangia kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia GSM Foundation.
Kupitia taarifa iliyotolewa Agosti 15, 2025 na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi...
Wakuu!
Klabu ya Yanga wamefuta post ya kuomba radhi, ambayo ilikuwa ikihusu mchango wa Shilingi milioni 100 uliotolewa kwa CCM.
Soma > Yanga wasema mchango wa Milioni 100 kwa CCM ulitolewa na GSM Foundation, Sio Fedha za Klabu
Post ya barua hiyo ilisisitiza kuwa fedha hizo hazikutoka kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.