mc pilipili

  1. Baada ya Masanja Mkandamizaji sasa MC Pilipili naye awa mchungaji.

  2. Naona MC Pilipili amekuwa mchungaji

    Wakuu naona Siku Hizi MC Pilipili naye Amekuwa Mchungaji Kama Alivyo Masanja Mkandamizaji, Ministry Yake Inaitwa Wonders Sunday Service, lipo Mbezi Beach Africana [emoji3][emoji3][emoji3]
  3. Kwa msiba mkubwa uliompata MC Pilipili na jinsi alivyopokea hakika nimejifunza mengi

    Miaka kadhaa nyuma nikiwa naangalia mahojiano kati ya Mtangazaji na Mwanamuziki Mkongwe Mzee Zahiri Ally, kupitia ITV (kama sikosei maana ni muda sasa)...nakumbuka jibu la Mzee Zahir baada ya Mtangazaji kuonyesha wasiwasi wake kwa vipi Mzee Zahiri alimudu Jeshini kwa kuangalia muoenekano wake...
  4. GE2020 MC PiliPili ajitokeza kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Bahi kupitia CCM

    Emmanuel Mathias (MC PiliPili) naye ajitokeza kuchukua fomu ya kugombea Ubunge BAHI kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…