Mbunge Tauhidi kutoka Zanzibar alishauri serikali imalizane na Kenge wa ndani
Tunajiuliza hao kenge wa ndani ni akina nani?
Na anataka serikali imalizane nao vipi?
Hivi mbunge anafikia hatua yakuita Watanganyika kenge, anajielewa kweli?
Kwanini aite Watanganyika kenge?
Anataka serikali...
Wakuu ,huyu Mbunge wa Viti MAALUMU alotumia MIAKA 18 kusoma Elimu ya Sekondari.
Na ambaye ameanza shule mwaka 1988 lakini mpaka 2015 akawa kaishia Diploma.
Inawezekana kabisa, Kalidanganya Bunge na Serikali juu ya Elimu yake.
Tanzania yetu HAMNA CHUO KINAITWA "COMMUNITY CONCERN TRAINING...
Ukitaka kujua Uwezo wa MTU wa Akili , moe nafasi ya kuongea !!.
Huyu wale unakuta wanaambiwa 'Jitahidi rudia rudia kusafisha Cheti, ili mradi upate sifa , kasome kadiploma '.
Ukifatalia kiundan hata kadiploma lake, kakapata Kwa kuunga unga na kuvuliwa chupi.
Kama MTU kafeli form four mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.