mbunge masache

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbunge Masache: Mapato ya madini yameongezeka kutoka asilimia 9.1 mwaka 2023 hadi asilimia 11 mwaka 2025

    Mbunge wa Lupa mkoani Mbeya, Masache Kasaka ameipongeza Wizara ya Madini kwa kuendelea kuongeza mapato ya Serikali, huku Pato la Taifa likifikia asilimia 11.9. Akichangia bungeni leo Jumatatu Aprili 27, 2026, amesema makusanyo ya wizara hiyo yameongezeka kutoka asilimia 9.1 ya mfuko mkuu mwaka...
  2. Mbunge Masache alia na wataalam wa kigeni kuingilia shughuli za wazawa

    Bungeni Dodoma 📍 May 2, 2025. Katika kuchangia bajeti ya wizara ya madini Mbunge wa lupa Mh Masache Kasaka ameomba serikali kupitia wizara hiyo kuweka utaratibu mzuri wa wataalam wa kigeni kutokuingilia shughuli za wazawa katika maeneo ya uchimbaji na badala yake kufanya yale yaliyowaleta...
  3. Mbunge Masache Aomba Ongezeko la Bajeti ya Barabara

    MBUNGE MASACHE AOMBA ONGEZEKO LA BAJETI YA BARABARA Aprili 16, 2025 Mbunge wa jimbo la lupa Mhe. Masache Kasaka ameomba serikali kuongeza bajeti ili kufanya ukarabati wa barabara za kuingia katika vitongoji. Sambamba na hilo Mhe. Masache Kasaka amempongeza Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan...
  4. Mbunge Masache awataka waumini kutii mamlaka

    Mbunge wa Jimbo la Lupa Wilaya ya Chunya Mkoa wa Mbeya, Mhe. Masache Kasaka amewasihi waumini wa dini ya kikristo kusoma maandiko ya kibiblia na kuyatendea kazi ikiwemo agizo la kutii wenye mamlaka na kuwaombea kama viongozi wa dini na Serikali. Mbunge Masache amepata nafasi ya kutoa nasaha...
  5. Mbeya: Mbunge Masache Kasaka afika Kata ya Ifumbo, Lupa Wilayani Chunya

    MBUNGE KASAKA APOKELEWA KWA KISHINDO IFUMBO Mbunge wa Jimbo la Lupa Masache Njelu Kasaka amemalizia ziara yake ya Kata kwa Kata na amewafikia wana Ifumbo na kutembelea Vijiji viwili vya Lupa Market pamoja na Ifumbo. Katika ziara yake Mhe. Mbunge ameongea na wananchi na kuwapa mrejesho wa...
  6. Chunya, Mbeya: Mbunge Masache Kasaka afanya ziara jimboni Lupa

    ZIARA JIMBONI LUPA Tarehe 22 Februari 2023 Mbunge wa Jimbo la Lupa, Mhe. Masache Kasaka Mbunge wa Lupa akiongozana na wajumbe wa Mfuko wa Jimbo wameendelea na ziara ya kukagua Miradi ya Maendeleo Wilaya ya Chunya. Amekagua; 1. Ujenzi Barabara, 2. Kituo Afya Ifumbo, 3. Sekondari Isenyela na 4...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…