Wakuu naona mbio za kuutaka urais zinashika kasi... makada wa chama pendwa ambao pia ni viongozi maarufu serikalini wako kasi sana kuji-brand.
Binafsi ninaona siojambo baya ila mara nyingi watu kama hawa hupatwa na AJALI ZA KISIASA au chama pendwa kubadili gia angani kwenye kuteua mgombea...
Mwanasiasa wa Upinzani, Robert Kyagulanyi, amechukua fomu Tume ya Uchaguzi ya Uganda kwa ajili ya kuwania kiti cha urais 2026.
Kyagulanyi, ambaye aliwakilisha jukwaa la Umoja wa Kitaifa katika Uchaguzi uliopita, amesisitiza nia yake ya kuwania Urais wa Uganda.
Kyagulanyi, Mwanamuziki...
WAZIRI wa Nchi OR Utumishi na Utawala bora, George Boniface Simbachawene na Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima wanatajwa kwenye mbio za Urais mwaka 2025 mara tu baada ya Bunge la Bajeti kuvunjwa Juni 27 mwaka huu.
Mbali na Simbachawene na Gwajima pia ziko tetesi za Wabunge wengi wa CCM nao...
Akizungumza na Wasafi Radio kupitia kipindi cha goodmorning mhariri wa gazeti la Radar aliyejitambulisha kwa jina la Mjema ameeleza kuwa waziri anayejifanya mzalendo kwa kuvaa hadi mavazi yenye bendera, anajilimbikizia mali kwa njia ya Bureau de change kwa ajili ya maandalisi ya uchaguzi wa...
Wanasema ili kupunguza uhasama ndani ya chama apatikane kijana mwenye rekodi safi hasa ya kukataa rushwa au ufisadi kutoka Kanda ya ziwa Magharibi lakini Kwa sharti la kutokuwa ngosha.
Kwakutambua nguvu ya Kanda ya ziwa na Magharibi wanapendelea atoke mikoa ya Kigoma, Mwanza, Mara, Geita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.