mbeya mjini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Natafuta mwanamke Mbeya mjini

    Mi ni mgeni huku, nimekuja kuanza maisha. Nahitaji mwanamke wa huku mbeya mjini kwa mahusiano endelevu. Nimekuja huku JF coz mi sio mtembeaji sana wala muongeaji. Muda mwingi nipo ndani mwenyewe. Awe sehemu za mbeya mjini, mi nipo pembeni kidogo ya mji. Kama utakuwa interested nicheki kwa...
  2. Wakazi wa Mbeya mjini wasipodhibitiwa watajenga hadi juu ya Kawetere, matokeo yake si mazuri baadae

    Wakuu, Kuna jambo la muda mrefu linanipa wasiwasi sana kuhusu namna mji wa Mbeya unavyokua. Sasa hivi ukipita maeneo mbalimbali utakuta kila kona kuna ujenzi, mara nyingi bila mpangilio wa mji. Wengine wameanza hata kupanda kuelekea Kawetere, eneo ambalo kiasili ni mlima wenye vyanzo vya...
  3. GE2025 Mwalunenge achukua fomu kugombea ubunge Mbeya Mjini

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi Patrick Mwalunenge Amechukua rasmi fomu ya Kuomba kuteuliwa na tume huru ya Taifa Ya uchaguzi kugombea ubunge wa jimbo la Mbeya Mjini Kupitia Chama Cha Mapinduzi Ccm Mwalunenge Amechukua fomu hiyo siku chache baada ya kuteuliwa na Chama chake kukiwakilisha katika...
  4. Natafuta kazi Mbeya mjini

    Natafuta kazi yoyote Mbeya mjini, Nina ujuzi wa ufundi mitambo (mechanical engineering) Mawasiliano: 0756704145
  5. S

    Natafuta kazi Mbeya Mjini kama kuuza duka, ufundi mitambo na n.k.

    Natafuta kazi Mbeya Mjini kama kuuza duka, ufundi mitambo na n.k. Nina stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering) 0756704145
  6. Sugu, jimbo la Mbeya Mjini liko wazi, jiunge na chama kikuu cha upinzani CHAUMMA usepe na kijiji

    Kwa sasa Sugu njia nyeupe Mbeya Mjini. Ni yeye tu aachane na siasa za darasani (academic politics) aende saiti
  7. PreGE2025 CCM Mbeya mjini yapongeza utekelezaji wa mradi wa barabara Ilomba - Machinjioni

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mbeya Mjini kimeonesha kuridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara inayounganisha maeneo ya Ilomba na Machinjioni, chini ya mradi wa TACTIC awamu ya kwanza. Akizungumza wakati wa ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi huo, Mwenyekiti wa...
  8. PreGE2025 Waziri Bashe amuomba Spika Tulia akagombee ubunge jimbo la Uyole na si Mbeya Mjini

    Wakuu Watu wa uyole wamefikiwa sasa, Stuxnet upo wapi, Spika Tulia Akson Mwansasu atakubali kuliachia jimbo la Mbeya mjini uchaguzi wa mwaka huu akagombee Uyole? Waziri wa kilimo Hussein Bashe leo Mei 21, 2025, katika mkutano wa 19 wa Bunge la 12, jijini Dodoma, akiwasilisha hotuba ya bajeti...
  9. Laini za uwakala wa kifedha zinauzwa Mbeya mjini 4 @ Tshs. 100,000/=

    Laini za uwakala wa miala ya kifedha zinauzwa, Mbeya mjini. Hallopesa,Mpesa,Yas,Airtel money. Bei Tshs 400,000/= Bei inazungumzika. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
  10. Kiwanja Mbeya Mjini.

    Habari za Pasaka wanajukwaa, SIjawahi kuona kiwanja cha 5M au chini ya 10M kinauzwa Maeneo ya mbeya mjini. Kila siku naona vya 40M tu na kuendelea. Kama kuna kiwanja chenye bei hiyo niliyoitaja mbeya CBD tujuzane wakuu, maana vipato vinatofautiana NB. 1. Kuwe na barabara inafika. 2. Kama ni...
  11. Samaki aina ya Mbasa wanauzwa Mbeya mjini.

    Samaki aina ya Mvasa wanauzwa Mbeya mjini. Bei inategemeana na ukubwa wa samaki, kuanzia 15,000/= hadi 45,000/= wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
  12. J

    PreGE2025 Mbeya Mjini ni vigumu sana Wasafwa kupata Ubunge, ni Jimbo la wageni kama Arusha Mjini

    Watu wengi wanaamini Wenyeji wa Mbeya Mjini ni Wanyakyusa na Wasafwa kwao ni Mbeya Vijijini Lakini ukweli ni Kuwa Mbeya Mjini na Vijijini kote ni Kwa Wasafwa ila inasemekana Wasafwa ni Watu wataratibu sana wasiopenda kabisa mambo ya siasa Wao wamejikita zaidi kwenye mambo ya Dini hasa Misikiti...
  13. Wanahitajika watu wa fani mbalimbali kwaajili ya Microfinance Mbeya Mjini

    Habari! kama una ndugu au ni wewe mwenyewe na unashahada ya masuala ya fedha..Uhasibu au uchumi unaweza apply kwenye KAZI zifuatazo. 1) managing director - awe na masters ya Finance au masuala ya fedha na uchumi na uzoefu WA kutosha. 2) credit au loan officers - nafasi tano. 3) Teller -...
  14. House4Sale Nyumba inauzwa Mbeya mjini

    Nyumba inauzwa Mbeya mjini tshs 130m. Mazungumzo yapo. Ina vyumba 3 vya kulala,sebule,chumba cha chakula na jiko. Wasiliana nasi+255761972755,+25561246050. Nyote mnakaribishwa!
  15. Nyumba inauzwa Mbeya mjini..

    Nyumba inauzwa Mbeya mjini tshs 45m. Wasiliana nasi+ +255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa
  16. Godown linapangishwa Mbeya mjini

    Godown linapangishwa Mbeya mjini sq 750. Tshs 4m mazungumzo yapo. Lipo eneo la viwanda, Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
  17. Plot4Sale Viwanja vinauzwa Mbeya mjini

    Viwanja vinauzwa Mbeya mjini. Kila @25,000 mazungumzo yapo. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
  18. Godown linapangishwa Mbeya mjini.

    Godown linapangishwa Mbeya mjini. Sq 450 Tshs 1.5m. Mazungumzo yapo. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
  19. PreGE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu): Wanawake walibakwa ili mimi nitangazwe kuwa Mbunge Mbeya mjini

    Wakuu Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa Mhe Joseph Mbilinyi (Sugu) akizungumza na wananchi amefunguka baadhi ya sababu za CHADEMA kuanzisha kampeni ya "No reforms no Election" akumbushia hali ilivyokuwa mwaka
  20. Kuigawa Mbeya mjini na kuiacha Mbeya Vijijini ni uhuni wa Tume Huru ya Uchaguzi

    Angalia ramani, hicho kidogo cha rangi ya kijani katikati ndiyo Mbeya Mjini. Na hiyo yellow ni ndiyo Mbeya Vijijini Halafu Tume Huru ya Uchaguzi imefanya yafuatayo:- Yote haya ni KUMRIDHISHA Betina aendelee kuwa Mbunge na kisha Spika wa Bunge la JMT. ANGALIA. MLINGANISHO:- 1) Mbeya Mjini:-...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…