mbeya city

Mbeya City Council Football Club, is a Tanzanian football team playing in the Tanzanian Premier League. The team was established in 2011 in Mbeya City which is in the Southern Highlands of southwest Tanzania.
Mbeya City FC is known by the names of Green City Boys, Purple Tigers and Jacaranda Warriors. Their home jersey is purple and white. The 20,000 capacity Sokoine Stadium is their home stadium.

View More On Wikipedia.org
  1. Waamuzi mechi za JKT vs Azam na Mbeya City vs Yanga wafungiwa. Bacca wa Yanga afungiwa michezo mitano

    Waamuzi wa mechi za Ligi Kuu na mchezaji mmoja wamefungiwa kutokana na utendaji mbaya katika michezo iliyopita. Kikao cha kamati ya saa 72 kilichokaliwa jana kimeamuru adhabu kwa waamuzi waliochezesha mechi ya JKT Tanzania dhidi ya Azam FC na mechi ya Mbeya City dhidi ya Yanga SC. Ibrahim...
  2. Nimepata hasara tena leo kwa Mchezo wa Yanga na Mbeya City

    Hasara haikuwa kubwa kwa vile sikuwa na uhakika kama kweli Yanga itashinda, ila niliweka mkeka uliegemea Yanga kushinda, kwa hiyo matokeo ya leo yamechana mkeka wangu huo. Yanga huhangaishwa sana na timu za Mbeya hasa Ihefu na Mbeya City zimekuwa zinaipa Yanga kichapo cha mbwa koko mara kwa...
  3. Unawapa alama ngapi Mbeya City kwa jezi zao?

    Chini ya 10 ungewapa alama ngapi akina mwaisa kwenye jezi zao?
  4. Mbeya City Fc Yavuna Vipaji 68

    Mbeya City Fc
  5. M

    Inakuwaje Mbeya City inakuwa na mashabiki wengi kuliko Azam na Singida?

    Nimekuwa nikufuatilia uchezaji wa Mbeya City na mechi zao uwanjani. Kinachoshangaza ni uwingi wa mashabiki wanaojitokeza uwanjani kuangalia mechi zao ukilinganisha na hawa Azam na singida ambao uwekezaji wao mkubwa kuliko mbeya City. Je, ni hulka ya watu wa mbeya kupenda vya kwao au ni ujinga wa...
  6. FT | Simba SC 3-1 Mbeya City FC | CRDB Bank Federation Cup | KMC Stadium | 13.04.2025

    Simba SC watashuka dimbani leo saa 10:00 jioni kuwavaa Mbeya City katika mchezo wa Robo Fainali ya CRDB Bank Federation Cup, ukitarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Mchezo huo utakuwa kipimo muhimu kwa Mnyama Simba SC ambao wanalenga kutinga hatua ya nusu fainali na kuweka rekodi ya kutwaa taji...
  7. Mbeya City FC wako on fire vibaya mno

    Ona mtiti huo viwanjani, nani kama Mbeya City FC?
  8. Records: Sure Boy na Mudathir walisimamishwa Azam kwa sababu ya kupanga matokeo dhidi ya Yanga

    WACHEZAJI watatu wa Klabu ya Azam FC ambao ni Nahodha Aggrey Morris, Salum Abuubakar (Sure Boy) pamoja na Kiungo Mudathir Yahya Abbas walisimamishwa kwa muda usiojulikana kutokana na utovu wa nidhamu. Kupitia mjadala mkali wa Crown Media imebainika kuwa walipanga matokeo dhidi ya Yanga...
  9. Mbeya City yaitoa Azam FC kombe la Shirikisho la CRDB

    Huu kweli ni mwaka wa ubaya ubwela. Azam ametolewa kwa penati na Mbeya City katika mashindano ya Shirikisho la CRDB Cup. Tukumbuke kwamba Mbeya City inacheza katika ligi daraja la kwanza. Timu hizo zilimaliza mchezo kwa kufungana 1-1 ndiyo wakaenda kupigiana penati ambapo Mbeya City ikashinda...
  10. Dkt. Tulia alilipia Tiketi 1000, mechi ya Mbeya City FC dhidi ya African Sports!

    Mbunge wa Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, ameonyesha ukarimu kwa kuwalipia mashabiki wa Klabu ya Mbeya City tiketi 1000, ili kuipa nguvu katika mechi dhidi ya African Sports. Mchezo huo wa Ligi ya Championship ya NBC ulipigwa kwenye Uwanja wa Sokoine, Jumatatu, Februari 17, 2025, kuanzia saa...
  11. Beki wa Boli, Hamza enzi hizo akiwa kinda wa miaka 12 Mbeya City

    Leo ikiwa ni alhamisi basi ni siku ya TBT. Huyu hapa beki kisiki anayeogopww na fowadi nzima ya Uto, Abdulrazak Hamza, hapa akiwa Mbeya City. Alikuwa na miaka 12 tu ila balaa lake lilikuwa la moto sana. Kama hukufanikiwa kumuona Victor Costa akicheza basi wewe mtazame tu Hamza
  12. Mbeya ni jiji lenye barabara mbovu kuliko zote Tanzania

    Nimekuwa mkazi wa Mbeya kwa kipindi cha zaidi ya miaka minne sasa, lakini kati ya majiji yote niliyowahi kutembea katika kipindi chote, sijawahi kuona jiji lenye barabara mbovu kama Mbeya. Kuna barabara za lami zimekuwa na mashimo makubwa kwa zaidi ya miaka miwili, na ni barabara zenye umuhimu...
  13. Nipo Mbeya City, wapi nitampata hizi Men blacelet?

    Wakuu, nipo Mbeya City nahitaji hizi blacelets, offcorse Mimi sio mpenzi wa saa za mkononi Ila napenda sana blacelets za kiume kama hizi, nikivaa hizi najisikia niko comfortable sana. Nilizokuwa navaaga zimenipotea. Moderator naomba ubadili hapo kwenye title "nitampata=nitapata"
  14. Mashujaa FC karibuni NBC Premier ila mkitumika na Yanga SC kama Mbeya City FC nanyi tutawashusha Daraja

    Tayari baada tu ya Kumaliza Mechi yenu huko Mkoani Mbeya nimemsikia Mmoja wa Kiongozi wenu Said Swedi 'Scud' akifurahia na kutamba kuwa Msimu ujao wa Ligi Kuu Timu zitawakoma. Said Swedi Scud ni mwana Yanga SC lialia tena ni Mwanachama kabisa na alishawahi pia kuwa Mchezaji ( hasa Mshambuliaji...
  15. Wenye akili tulipoona tu ndani ya Mbeya City FC kuna u-CCM na u-CHADEMA, tulijua itashuka tu Daraja

    Huwezi kuwa na Timu halafu Asubuhi Spika wa Bunge anaenda na Kuwaambia Wamsikilize Yete huku akimbeza Mpinzani wake Sugu na Mbunge Mstaafu na mwenye Ushawishi Mbeya Mjini Sugu nae akienda anamkandia Mpinzani wake Spika wa Bunge na kuwataka Wamsikilize Yeye halafu hiyo Timu ikapata Mafanikio...
  16. Live Updates NBC Playoff: Mbeya City Vs Mashujaa-Kigoma

    Leo ni mechi ya mwisho ya PlayOff kati ya Mashujaa na Mbeya City. Mechi ipo live hapa Mbeya 0-0 Mashujaa. Mbeya City ipo kwenye hatihati ya kushuka daraja baada ya kula kichapo cha 3-1 huko Kigoma. My Take Waha njoeni hapa mbishane
  17. Baada ya kujua Mbeya City FC wana Uyanga mwingi najitolea kufanya Fitna ili ifungwe na KMC FC na ishuke kabisa Daraja

    Kocha wa KMC FC na Mtoto wa Mjini Mwenzangu Jamhuri Kihwelo ( alias Julio ) najua leo mmefungwa nao Goli 2 kwa 1 huko Kwao Mbeya na Ijumaa mnarudiana nao Dar es Salaam hivyo tulia wana Simba SC Wenzako tuicheze Kimafia na Kimjinimjini hiyo Mechi uwafunge Goli 3 au 4 kwa bila ili mbakie Ligi Kuu...
  18. Jezi nyeusi ya Yanga ni tofauti na zile za Azam na Mbeya city

    Mbeya city walivaa jezi nyeusi dhidi ya prisons wakanyooshwa, na Azam walivaa jezi nyeusi dhidi ya Yanga wakanyukwa. Jezi nyeusi ya Yanga sio TU ni nyeusi bali Ina majina ya watu wao muhimu sana. Sio weusi unaofanyakazi bali zile signatures za watu muhimu, legends. Vinginevyo utapata mkosi kama...
  19. Yanga 2-0 Mbeya City | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

    Tukiendelea na hekaheka za kombe la dunia pia Ligi kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwenye dimba la Benjamin Mkapa ambapo Yanga anaikaribisha Mbeya City. 24' ⚽ Yanga inatangulia kwa goli lililofungwa na Fiston Mayele. 33' Moloko anajaribu lakini beki wa Mbeya City anaweka mguu na mpira...
  20. Tunaisubiri kamati ya masaa 72 kutoa adhabu kali kwa mtindo waliotumia wachezaji wa Mbeya City kushangilia

    Tadadhalini kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chenu mnapopitia taarifa mbalimbali za mechi za Ligi Kuu tunaombeni mliwekee uzito hili jambo la mtindo wa ovyo waliyotumia Mbeya city kushangilia bao la kusawazisha. Ni mtindo ambao ipo kinyume na maadili wazi wazi, hapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…