Wadau wa JF,
Mada hapo imeeleweka bila shaka. Nataka nijitose katika biashara ya mbao baada ya kuhisi itanilipa kwa maoni yangu. Nataka ninunue kutoka mikoa ya Njombe na Iringa na kuzisafirisha kuuza mkoani Dodoma ambapo kuna fursa kubwa ya ujenzi hivi sasa.
Ni mgeni katika biashara hii na...