mazingira

The Mazingira Green Party of Kenya is a Kenyan green party. It was formerly known as Liberal Party of Kenya (LPK). At the 1997 Kenyan General Elections LPK fielded a presidential candidate, Wangari Maathai, who later became a Nobel Peace Prize laureate. Maathai was only a minor candidate. She did not win a parliamentary seat. In 2002, the next general elections were held and the Maathai-led party was part of the victorious NARC coalition. Maathai herself won the Tetu Constituency parliamentary seat.At the Kenyan general election, 2007, Mazingira was part of the newly created Party of National Unity led by President Mwai Kibaki. However, Mazingira also fielded own candidates. Mazingira won one parliamentary seat at the elections, after Silas Muriuki beat PNU candidate David Mwiraria to clinch the North Imenti Constituency parliamentary seat. Maathai was first outvoted at the PNU primary elections and therefore vied on Mazingira ticket, but at the parliamentary elections lost again to the PNU candidate.
The word Mazingira is Swahili for environment.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Kero yangu ni usafiri katika Halmashauri ya Mafia, huduma ni mbovu na kuna mazingira ya Rushwa

    1. Usafiri Mafia ni kero tutoka Bara kuja huku. 2. Rushwa zimetawala kila idara toka mlinzi kwenye meli mpaka mkatisha tickets...huko kwingine ndiyo usiseme... 3. Watu wa mafia wamwogope Mungu matusi ya nguoni mpaka mbele za watoto wao. 4. Watu tunaoajiriwa Mafia tunaona kama tumepewa adhabu kwa...
  2. A

    KERO Uchafuzi wa mazingira kwa kuchimba moramu na kulipua mawe kutumia baruti eneo la Kijiji cha Nyangomango kitongoji Nyaruhama kata Usagara

    Eneo hili Kuna uharibifu mkubwa wa mazingira kwa uchimbaji molamu na kulipua mawe kwa kutumia baruti ambazo zinatoa mlipuko kama bomu.Wakazi wa maeneo haya mwaka jana 2025 walilalamika kwenye ofisibza NEMC mkoa wa Mwanza na wakazuia mhusika kuendelea kuchimba badala yake afukie hili shimo...
  3. A

    KERO Wafanyakazi wa Manispaa ya Ubungo hapo Luguruni wajitathimini, baadhi wanatengeneza mazingira ya Rushwa

    Mimi ni mhanga pia wa hao Manispaa ya Ubungo, ninaishi Kibamba, mwanzoni mwa Januari 2026 walipita wakikagua Leseni ya Biashara nikawaeleza week inayofuatia nitaenda ofisini, maana ilikuwa ni ya ku-renew na kweli nilienda tarehe 6 January nikahudumiwa na mdada mmoja baada ya kumaliza kunihudumia...
  4. TFF tofautisheni ligi yetu na zile za Ulaya kwa mengi, mazingira ni tofauti

    Masaa 72 ya Ulaya na masaa 72 ya Tanzania ni tofauti kabisa. Think globally Act locally. Masaa 72 ya kucheza baina ya mechi yamezingatia vitu mbalimbali ambavyo Tanzania havipo. Baadhi ya vitu hivyo ni pamoja na: 1. Ubora wa viwanja vyao: Wachezaji hawaumii sana mara kwa mara kwasababu za...
  5. Jinsi mazingira uliyokulia yanachelewesha mafanikio yako

    Jinsi Mazingira uliyozaliwa yanaweza kukuchelewesha kufanikiwa. Mazingira yanamchango mkubwa wa mtu kufanikiwa, ukiwa kwenye Mazingira sahihi ni rahisi kupiga hatua.Mazingira uliyozaliwa au home town yanaweza kuwa kikwazo cha mtu kutopiga hatua kivipi. 1. Marafiki uliokuwa nao, unapokuwa...
  6. M

    rangi na material ipi nzuri kushonea seat cover za gari kwa mazingira na hali ya hewa ya Dar ?

    Nimeipenda rangi nyeusi ila kuna sehemu nimeambiwa huwa inanyonya sana joto Je nichukue rangi ipi au mchanganyiko wa rangi gani. material ipi nzuri kwa bei isiyozidi laki 3, gari ina siti tano
  7. Masauni atoa wito kutumia fursa zilizopo kwenye Mazingira

    Unguja. Serikali ya Awamu ya Sita pamoja na mambo mengine imeimarisha zaidi ushirikiano wa kimataifa na kutoa mchango mkubwa katika masuala ya kikanda na kimataifa yanayohusu mazingira na mabadiliko ya Tabianchi. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni...
  8. Huwezi kuwa kiongozi halafu usitake kupendwa. Uongozi nchi ni kama Ndoa. Huwezi tenganisha Mapenzi na Uongozi

    Hamjambo! 1. Ni sawa uoe/kuolewa alafu useme nikijipenda inatosha, au akinipenda Mama inatosha. Mkeo au mumeo asipokupenda tafsiri yake hakuna ndoa hapo. 2. Uongozi unatokana na mapenzi. Kupendwa. Ndio maana watu wanachagua viongozi wanaowapenda. 3. Na huwezi kuongoza watu wasiokupenda. Kwa...
  9. A

    KERO Dar inazidi kuwa na mazingira yasio na mpangilio. Viongozi wana hofu au wanaogopa Wananchi baada ya Uchaguzi wa 2025?

    Tunatambua tangu matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi 2025 yamesababisha usimamizi wa usafi na mazingira kuzorota, hofu ikiwa kwa Wanasiasa kuogopa lawama za Wananchi. Hii imesababisha mji kuwa mchafu sana, tunajenga barabara nzuri lakini mabanda kila mahali, ukienda Mbezi Mwisho...
  10. Rais haramu ni yule anaye fanya wajibu usio muhusu na hata akifanya vizuri kwa mazingira kama haya hawezi kusifika kabisa ni haramu

    Rais haramu ni yule anaye fanya wajibu usio muhusu na hata akifanya vizuri kwa mazingira kama haya hawezi kusifika kabisa ni haramu. Raisi samia asifiki ni haramu kwenye hiyo nafasi ameuwa watanzania wengi sana na kuteka watu wengi sana kwenye utawala wake haijawai kutokea mtu kama huyu huwezi...
  11. M

    Ugali wa dona ni mzuri kuzidi wa sembe lakini katika mazingira ya sasa ni uchafu uliojaa hatari, hatuna budi kubaki kwenye sembe kulinda afya zetu

    Ugali wa dona ni mzuri kuzidi wa sembe lakini katika mazingira ya sasa, umejaa hatari nyingi kiafya, hatuna budi kubaki kwenye sembe kulinda afya zetu Unga wa dona ni mahindi yaliosagwa na Maganda yake (pumba), unga wa dona huondoa Maganda. Ugali wa dona ni chakula chenye afya ikiwemo kuwa na...
  12. E

    THRDC NA MAIPAC yawanoa waandishi wa habari za mazingira

    Arusha. Mtandao wa Watetezi wa Haki za Bbinaadamu Tanzania (THRDC) kwa kushirikiana na Taasisi ya Wanahabari ya Kusaidia Jamii za Asili (MAIPAC), imeanza kuwanoa wanahabari Kanda ya Kaskazini na Kati, kuandika vyema Habari za uchunguzi za mazingira. Uzinduzi wa mafunzo hayo, umefanyika leo...
  13. UJENZI wa OFISI ya MAKAMU wa Rais jengo kama hekalu la mfalme ni matumizi mabaya ya fedha, mtu WA mazingira OFISI ya Nini? Nchimbi hakupanda mti juzi?

    Ile OFISI inayokarabatiwa ya MAKAMU wa Rais ni kuchezea fedha za UMMA, MAKAMU wa Rais Tanzania ni OFISI ya kutulizia mijitu nguri michokonoko dhidi ya WENZAo ndio maana kupewa KAZI zinazo usu mazingira TU Sasa mtu WA mazingira OFISI kama Ile ya Nini? Nchimbi kwa Nini hakupanda miti juzi?
  14. E

    Je Mtoto wa kike anapaswa Aanze kufundishwa kufanya usafi wa ndani na Mazingira akiwa na umri gani?

    Je mtoto wa kike anapaswa kuanza kufundishwa kufanya usafi wa nyumbani akiwa na umri gani
  15. M

    Kuna gari za kuanzia mwaka 2013 hadi 2020 kwa bajeti zisizozidi milioni 28 zenye urahisi wa kuzitunza na matengenezo pamoja na ulaji mzuri wa mafuta?

    Gari itatumika mazingira ya Tanga, matumizi ya lami na barabara za vumbi kidogo Engine iwe inasifika kwa uimara na ikipata hitilafu mafundi wameizoea Iwe na mifumo mingine ambayo imezoeleka na mafundi, sio kufunga safari hadi Dar au Kenya kurekebisha Isizidi cc 2000 Ulaji mzuri wa mafuta Umbo...
  16. Jaji Mkuu: Mahakama haiwezi kuwa huru kama Watendaji wake hawana uhakika wa mishahara na mazingira bora ya kazi

    Jaji Mkuu George Mcheche Masaju amezungumzia kuhusu maslahi ya Watendajiw a Mahakama mbele ya Rais Samia Suluhu ambaye anafungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
  17. Kwa mazingira haya Magufuli na Samia wanastahili nishani za kitaifa za kuilinda Tanzania!

    Yapo matukio kadhaa duniani yanayohusu vita vya kiuchumi ambayo kama mtanzania mzalendo na msomi na mwenye kufuatilia vita baridi vya kiuchumi na kikanda unaaswa na kupaswa kuyafuatilia na kuyazingatia kwa kina bila mihemuko ya kiitikadi,kimazoea au kumezeshwa propaganda . Nimeyetaja matukio...
  18. Usimsamehe mtu yeyote ambaye mwanzo akitaka kukuua, au kukutengenezea Mazingira ya wewe kutofanikiwa

    Usije ukathubutu Kusamehe MTU aliyetaka kukuua, au alijaribu kutengeneza mazigira ya wewe usifanikiwe . Jambo la kujua ni kuwa watu huwa hawabidiliki Kama ni mbaya ni mbaya na Kama ni mzuri mzuri . Kwahiyo haiwezekani mtu yule yule aliyekukataa kipindi Fulani Leo aje akukubali kisa tu Una...
  19. Serikali ya CCM mmetengeneza mazingira ya utendaji ambayo kesho yakiwakuta hakuna lawama.

    Nime msikiliza waziri mkuu mwiguru japo uchaguzi mliofanya ni haramu na wadamu. kuwa unasimamia maadili ambayo kampuni ya Ester ya mabasi sio yangu ila jina la kampuni ni la mke wangu ambaye ni neema. Kwa serikali ya CCM ambayo sasa inawatafuna wenyewe sasa haya ni mambo ambayo muwezi kufanya...
  20. R

    PostGE2025 Rais Samia: Tutaweka mazingira kuhakikisha tunakuza vijana kwenye uongozi

    Rais wa Jamuhuri ya muunano wa Tanzania Dkyt. Samia Suluhu Hassan leo Novemba 14, 2025 akihutunia bunge la 13 kwa mara ya kwanza amesema serikali itaanza kukweka mazingira mazuri kwa ajiliya kukuza vijana katika uongozi na iatezesha vyuo nchini kusimamia masuala ya malezi na program za mentorship
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…