mayele

Jason Nono Mayélé (4 January 1976 – 2 March 2002) was a Congolese professional footballer who played as a forward.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Dokumentari ya mchezaji Fiston Kalala Mayele PART 1

    Dokumentari ya Fiston Mayele alivyopokewa kuwa mfalme wa uwanjani ktk nchi ngeni https://m.youtube.com/watch?v=YIKlNoYxNDc Hii ni filamu ya wasifu wa mchezaji Fiston Kalala Mayele akirejea safari yake kuanzia mwanzo Mbuyi Mayi, Kolwezi Lubumbashi hadi kuchanua kwa Kipaji chake katika nje ya...
  2. shokoshugi

    Wana Mayele wao na sisi tusajili wakwetu

    Twende moja kwa moja kwenye Mada , Kwa jinsi mtanange unavyoendelea timu ya ugenini inaelekea kupata ushindi licha ya kelele nyingi za mashabiki wa timu ya nyumbani . Ni wakati sahihi wa timu ya nyumbani kubadili mipango yetu ya kumkabili mgeni. Wenzetu wana striker force hatari sana (MAYELE)...
  3. GENTAMYCINE

    Moloko aliyekuwa nyota na akiimbwa Yanga SC leo Kapigika hivi Kimaisha hadi analia ili tu aonane na Mayele na amtoe kwa chochote kitu?

    Ushauri wangu jamani Mwenyezi Mungu anapotupa nafasi ya Kuzikamata basi tuwe na Nidhamu ya Kuzitumia lakini Kubwa tujikite mno katika Kuwekeza ili tusije Kuumbuka baadae / mbeleni kama aliyewahi kuwa Mchezaji nyota / mahiri wa Yanga SC Jesus Kololo. Ila Moloko nawe leo ngoja Nikuchane kwani...
  4. GENTAMYCINE

    Mayele najua unataka kurudi Tanzania kwakuwa huko una Furaha ila nakuomba baki piga Hela usirudi Bongo kwani Utatuzidishia tu Machungu Sisi Lia Lia SC

    Baada ya kumsikia Mtu wako wa Karibu akisema unataka Kurudi Tanzania namtafuta Mganga akufunge Akili usirejee TZA.
  5. Just Pray

    Ukitaka kumng'oa Fiston Mayele Pyramids lazima uwe na kitita cha shilingi za kitanzania Bilioni 8

    Pyramids ya Misri imeweka bei ya Doła 3 milioni (Sh8 bilioni) kwa timu inayomhitaji mshambuliaji Fiston Mayele katika kipindi cha dirisha hili la usajili. Mayele aliyeongoza kwa kufumania nyavu kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika msimu uliopita akipachika mabao sita, anawindwa na klabu kadhaa za...
  6. D

    Tetesi: Fiston Mayele kawa Muislamu?

    I will be short Former yanga Player Fiston Mayele has converted to Islam . ☪️ Reports say influence from Pyramids players played a major part of his conversion. Kibongo bongo Ni pesa za kiarabu Hizi zinatafutwa === Nyota wa DR Congo anadaiwa kusilimu Katikati ya mafanikio yake ya soka...
  7. GENTAMYCINE

    Kama Ligi Kuu ya Tanzania ni mbovu kwanini Mayele anafanya vyema aliko na kama Ligi Kuu ya Tanzania ni nzuri kwanini Aziz K anafanya hovyo huko aliko?

    Kazi yangu Kubwa sana leo katika huu Uzi wangu ni kujua akina nani wanajua Kuuchambua Mpira.
  8. blogger

    Simuoni Mayele akidumu hapo Pyramids. Waarabu ni wabaguzi na wamejaa roho mbaya

    Na Hana furaha kabisa. Katupia magoli mawili..kawapeleka final Kwa mara ya kwanza yet sijaona akiwa na furaha hata kuwa spotlighted. Hivyo hatadumu hapo. Hopefully huu ndio msimu wake wa mwisho.
  9. Taribo West

    FISTON KALALA MAYELE

  10. M

    Yule Jonathan Sowah ni zaidi ya Fiston Mayele

    Kiukweli leo nimempitisha rasmi kuwa mmoja wa washambuliaji hatari hapa nchini, kwanza Ana control na Ana ball brain, nimemfuatilia mechi ya leo na Mashujaa aisee mwamba huyu ni mtu hatari sana, mkatili mno kwenye nyavu Hawa ndio washambuliaji wanaohitajika Simba
  11. uhurumoja

    Mayele yuko Pyramid Mpole yuko Pamba

    Nikikumbuka zile mbio za top scorer kati Yao na kilichopo Sasa basi nakuombea mpole arejee kwenye kile kiwango huku nikijiuliza ni Nini kimetokea Maana hajazeeka na Wala kunenepa yuko vile vile
  12. Mhafidhina07

    Mzize ni matokeo ya Mayele.

    Hakuna ubishi juu ya kiwango kizuri kinachooneshwa na aliyekuwa mchezaji wa Yanga Fistok K,Mayele pale Pyramid mpaka sasa Mayele ni top scorer wa timu kitu ambacho kimewashitua baadhi ya timu kama Kaizer Chiefs kuhitaji kandarasi ya staiker huyo wa Pyramid huku taarifa za awali zinasema kuwa ni...
  13. OMOYOGWANE

    Tetesi: Fiston Mayele kutua Kaizer Chiefs

    Mchezaji wa zamani wa Yanga Fiston Mayele ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya Pyramids fc. kwa sasa anazungumziwa kumfuata kocha wake wa zamani Nasreddine Nabi. Nabi ambapo kwa sasa ni kocha wa mkuu wa Kaizer Chiefs. Hii habari ni ya imeendelea kushika kazi kwenye mitandano ya kijamii ya...
  14. Mributz

    Tetesi: Mayele kutua Simba muda wowote, asante Boss

    TETESI, muda wowote kuanzia sasa mshambuliaji FISTON MAYELE anaweza kutambulishwa ndani ya klabu ya Simba SC, ✍️Hii ni baada ya Kocha mkuu wa timu hiyo Fadlu Davids, kuomba aongezewe mshambuliaji mwingine mpya ndani ya kikosi hicho tofauti na wale waliopo ndani ya klabu hiyo kwa sasa. Paulo News
  15. William Mshumbusi

    Simba washabiki tulijua sasa Mo yuko siliasi. Tukaanza Kuwataja Akina Feitoto, Mayele na Aziz ki na Pakome. Kumbe anatoa vyuma vyote.

    Kama kuna Mtu wa kupewa pongezi kwa kukua Soka la bongo basi namba moja ni Mohammed Dewji Mo. Alijitaidi kuisuka simba vizuri na kuitambulisha soka letu kimataifa Baada ya mo Wafate akima Azam media na wengine Ila anavyoishiwa nguvu ya pesa kuifanya timu kubwa Akubali ukweli. ahusishe...
  16. Half american

    Mayele: Yanga wanajali sana maslahi yao kuliko ya mchezaji, nikirudi watanipokea tu

    Msikie mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Fiston Mayele raia wa Congo DR ambaye kwa sasa anasakata kabumbu la kulipwa Pyramids FC ya Misri. “Pamoja na kwamba kumekuwa na vita kubwa juu yangu kwenye mitandao ya kijamii, bado naamini kwa asilimia 100% kwamba nikirudi Yanga mashabiki watanipokea...
  17. GENTAMYCINE

    Kwa Fiston Mayele na Kibwana Shomary sawa Wasajilini kama Kweli, ila kwa huyu Ayuob Lyanga hakuna Mchezaji hapo na achaneni nae tafadhali

    Na uzuri pia wa Kibwana Shomary kwa Sisi wana Morogoro tunamjua kuwa ni mwana Simba SC lia lia hivyo atafaa tu.
  18. M

    Mayele na Feisal wanateseka moyoni

    Wanateseka kuliko wachezaji wa Simba waliofungwa. NB: Hongera sana Inonga kwa kukwepa lawama
  19. GENTAMYCINE

    Simba SC nawashaurini mapema leo hapa JamiiForums kuwa kamwe msimsajili Fiston Mayele kwani hatokuwa msaada wowote ule Kwetu

    Nina taarifa za uhakika kuwa ili Kutuliza Hasira Kali za wana Simba SC ( nami nikiwemo ) za muenendo mbaya wa Timu yetu na kwa Viongozi wetu wa Simba SC kwa kutujua Mashabiki wao tulivyo Mazuzu Original huenda Ligi Kuu ya NBC ikimalizika tu Mchezaji wa Kwanza Kusajiliwa Simba SC akawa ni Fiston...
  20. Expensive life

    Licha ya mapungufu ya Mayele ila pale Yanga kuna kitu hakipo sawa

    Kumekuwa na misuguano ya mara kwa mara kwa clabu ya Yanga dhidi ya wachezaji wake tena wakubwa tu. Morrison Feisal Mayele Bangala Shaban djuma Kwa mantiki hii inaonyesha kuna ukandamizaji mkubwa sana wa kimkataba kwenye hivi vilabu vyetu. Kama hawa wachezaji wakubwa tu wanalalama vipi kina...
Back
Top Bottom