mawaziri

  1. JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Vijana Botswana (Pichani)

    Wafahamu mawaziri Vijana nchini Botswana. Bado tunatafuta mchawi?
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lord Denning: Faida Nne za 'No Reforms No Election' kwa Ma-RC, ma-RAS, ma-DC, ma-DAS, ma-DED, Mawaziri, Spika, Wabunge na Madiwani wa CCM

    Endapo viongozi wa CCM watakubali kuahirisha Uchaguzi mkuu sasa hivi ili kuanzisha mchakato wa Katiba kwa ajili ya kufanya mageuzi ya kimfumo yanayopiganiwa na Watanzania watafaidika na mambo manne kama ifuatavyo: Serikali ya Awamu ya Sita itaendelea kuwepo madarakani hadi hapo Katiba Mpya...
  3. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Samia kuirejesha Derby ya Simba na Yanga? Atuma kikosi cha mawaziri wakatekeleze "4R", yawezekana akawa mgeni rasmi katika mchezo

    Rais Samia kupitia mawaziri wake wameingilia mtanziko kuhusu Derby, kikao kinaendelea chini ya gwiji wa reconciliation Profesa nguli wa sheria (MVP) , genius wa wakati wote wa kitivo cha sheria kutoka chuo kikuu pekee (achana na High School zilizochangamka) , UDSM, Profesa Pamagamba John Aidan...
  4. JamiiForums Tanzania Mawaziri wangu watano bora serikali ya Mama Samia

    Tunapoelekea uchaguzi Mkuu na kuvunja bunge na serikali,hawa ndio mawaziri wangu bora,ukimtoa Waziri Mkuu mzee wetu Meja. 1. Juma Aweso waziri wa maji haitaji kuelezewa sana kazi yake inaonekana. 2. Innocent Bashungwa huyu ni kiraka anafit wizara yoyote utakayompa he's very Giniasi 3. Dotto...
  5. JamiiForums Tanzania Trump awafutia kinga maraisi na mawaziri kadhaa waliomtangulia huku Zelensky akimwambia "achana na vinu vyetu vya nyuklia!".

    Orodha ya viongozi waliomtangulia aliowafutia kinga ya kutoshtakiwa ni wengi miongoni mwao ni raisi mstaafu Biden,Anthony Blinken,Obama na Hillary Clinton. Kwa upande wa Ukraine raisi Zelensky amejibu mpango wa Trump na Putin wa kugawana ardhi na mali za Ukraine kwa kusema Trump akae mbali na...
  6. JamiiForums Tanzania Trump awafutia kinga maraisi na mawaziri kadhaa waliomtangulia huku Zelensky akimwambia "achana na vinu vyetu vya nyuklia!".

    Orodha ya viongozi waliomtangulia aliowafutia kinga ya kutoshtakiwa ni wengi miongoni mwao ni raisi mstaafu Biden,Anthony Blinken,Obama na Hillary Clinton. Kwa upande wa Ukraine raisi Zelensky amejibu mpango wa Trump na Putin wa kugawana ardhi na mali za Ukraine kwa kusema Trump akae mbali na...
  7. JamiiForums Tanzania Wazir Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amfuta kazi mkuu wa Usalama wa Taifa Ronen Bar

    Baraza la mawaziri la Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu lilipiga kura kwa kauli moja kuunga mkono kumfukuza kazi mkuu wa Shin Bet Ronen Bar, ofisi ya Waziri Mkuu imetangaza. Siku ya mwisho ya Bar itakuwa Aprili 10, huku serikali ikisogeza hatua ya kumfukuza kazi baada ya hapo awali kuratibisha...
  8. JamiiForums Tanzania Kama rais Samia angekuomba ushauri, ni mawaziri na wakuu wa mikoa gani ungemshauri apige chini na ukiweza, kwanini?

    Japo uzi huu unaweza kutafsirika vibaya kama uchokozi, unalenga katuma taarifa kwa wakubwa wetu juu ya wateule wao. Unalenga kuwaonyesha tunavyowatathmini hata kuwaelewa. tupate fursa ya kuwakosoa na kuwatathmini watumishi wetu wa umma. Naomba kuwasilisha baba yenu nyote.
  9. JamiiForums Tanzania Mawaziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Ujerumani, Italia na Uingereza wanasema wanaunga mkono mpango unaoungwa mkono na Waarabu wa kuijenga upya Gaza.

    Wanaukumbi. Mawaziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Ujerumani, Italia na Uingereza wanasema wanaunga mkono mpango unaoungwa mkono na Waarabu wa ujenzi wa Gaza ambao ungegharimu $53bn na kuepuka kuwafukuza Wapalestina kutoka katika eneo hilo. =============== BREAKING: The foreign ministers of...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Machi, 2025.
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo aongoza Mkutano wa dharura wa Kamati ya Mawaziri wa SADC

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameongoza Mkutano wa Dharura wa Kamati ya Mawaziri wa Utatu wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) *ulio*fanyika kwa njia ya mtandao kujadili hali ya usalama...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu waziri maji: Ukituma mbunge anayekubalika kwa mawaziri miradi ya maendeleo itajazana jimboni kwako

    Naibu waziri wa maji Andrea Methew amesema baada ya Njalu Silanga kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa wabunge wa CCM mkoa wa Simiyu ambapo utendaji wake ulipelekea Rais Samia kuridhia kutoa bilioni 440 kwa ajili ya mradi wa maji kutoka ziwa Victoria huku akisema ndani ya jimbo hilo upatikanaji wa...
  13. JamiiForums Tanzania Balozi Kombo kushiriki kikao cha 46 cha baraza la mawaziri AU

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amewasili jijini Addis Ababa, Ethiopia ambapo anatarajiwa kuongoza ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Kikao cha 46 cha Baraza la Mawaziri la Umoja wa Afrika (AU) kinachofanyika tarehe...
  14. JamiiForums Tanzania Kama nyuma mwiko na singida zote zingepigwa tungepoteza mtu baraza la mawaziri nusura nyuma mwiko kupata sare!

    Muda huu kungekuwa na msiba mzito kwenye baraza la mawaziri kama nyuma mwiko angefungwa, Naona wanajeshi bado wana mishahara yao wamegomea bahasha na kocha wala hana shobo na nyuma mwiko.....aibu kwa refa aliyepokea bahasha amejitahidi kuongeza dk zake lakini la kuvunda halina ubani refa apewe...
  15. JamiiForums Tanzania Mawaziri wa EAC-sSADC wajifungia Dar es salaam kujadili usalama wa DRC

    Mkutano wa pamoja wa Mawaziri wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umefanyika jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadili hali ya usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Mkutano huo umeongozwa na Waziri Mkuu...
  16. JamiiForums Tanzania Mawaziri watu wazima (Wazee) iwe funzo kwa vijana

    1. Natazama Mkutano wa Africa Energy Summit mawaziri toka Zambia, Nigeria, Ivory Coast, Afrika Kusini na Kenya wazee tupu. 2. Vijana wapo bize wanabet wengine wanapakazana uchafu tu. Inasikitisha
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Iundwe ofisi ya mshauri Mkuu wa Taifa ambaye atawajibika kwa Baraza la Mawaziri.

    Kwako Rais wa JMT, Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, Awali ya yote napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mungu kwa kutujalia kufika muda na wakati tukiwa tu wazima wa afya na kuendelea kulijalia Taifa letu amani, umoja na mshikamano. Pia, nakupongeza kwa kuteuliwa kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Tuendeleeni tu kulifanyia Mzaha hili Suala la Timu zinazomilikiwa na Mawaziri Waandamizi kuwapa Kiholela Uraia Wachezaji wao

    UHAMIAJI TANZANIA na TISS wala msiwe na wasiwasi hili Jambo ni jema mno kwa Taifa letu hivyo endeleeni tu Kulala na Kuliachia kwani litadumisha sana Utaifa na Uzalendo wetu wa Kihistoria sawa?
  19. JamiiForums Tanzania Matajiri siti ya mbele, mawaziri siti ya nyuma uapisho wa Trump

    Katika hali ya kustaajabisha leo wakati wa uapisho wa Raisi Trump matajiri watatu wakubwa zaidi marekani na dunia nzima, Elon Musk, Mark Zuckerberg, na Jeff Bezos na demu wake Sanchez, Boss wa Google, wamekaa siti ya mbele kwenye shughuli ya uapisho wa raisi Trump wakati mawaziri wake wamekaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…