mauaji ya watu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Kesi ya mauaji ya Shakahola mtuhumiwa akiri kuua watu 191, wengi wakiwa Watoto

    Katika kesi ya mauaji ya Shakahola, mmoja wa washukiwa wakuu, Enos Amanya maarufu kama Hallelujah, ameachana na kukataa na akiri hatia ya mauaji na mazishi ya zaidi ya watu 191 mbele ya Mahakama Kuu ya Mombasa, wengi wakiwa watoto. Amanya, mmoja wa washtakiwa 29, alikiri mbele ya Mahakama Kuu...
  2. M

    PostGE2025 Shura ya Maimamu: Tunalaani mauaji ya watu wasio na hatia wakati wa uchaguzi mkuu. Tunakataa kupongeza uchaguzi mkuu uliofanyika

    SHURA YA MAIMAMU TANZANIA KAMATI KUU YA SIASA TAARIFA YA UCHAGUZI MKUU TANZANIA 2025 Imetolewa Tarehe 15/11/2025 Utangulizi Taifa letu la Tanzania lilifanya uchaguzi wa viongozi wa kitaifa Rais, Wabunge na Madiwani Tarehe 29 Oktoba 2025. Katika uchaguzi huo Shura ya Maimamu Tanzania ilikua...
  3. Keynez

    "Umkhonto we Sizwe" (MK) ilianzishwa na kina Mandela baada ya mauaji ya watu wachache kuliko waliouawa kwenye MO29

    Fuatilia historia ya Afrika Kusini na harakati zao za kutokomeza ubaguzi wa rangi. Kuna kitu walikianzisha kinaitwa "Umkhonto we Sizwe". Hii ni project maalumu iliyoanzishwa baada ya mauaji yanayojulikana kama "Sharpeville Massacre" yaliyotokea March 21, 1960 baada ya serikali kutumia nguvu...
  4. Richard

    Serikali ya Tanzania haitakwepa makosa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu au "Crimes Against Humanity" yanofanywa na vyombo vyake vya usalama na washirika

    Nikiwa ni mtanzania na raia mwema kwa nchi yangu nimejikuta nikiingiwa hofu kuu juu ya mstakabali wa maisha ya raia wa nchi hii. Hata wale raia wa kigeni nao kwa kusikia taarifa hizi kupitia mitandao ya kijamii bado waendelea kushangaa kwa jinsi mambo yanavyokwenda kama hakuna kinoendelea. Na...
  5. Carlos The Jackal

    Utekaji na Mauaji ya Watu Si tu Kwa sababu ya Urais wa Miaka 5, ni Kwa sababu ya Hatima ya Wachina na Waarabu !! Wanajua Samia akianguka,hawana Chao!

    Haingii akilini , Utekaji na Mauaji yaloshamiri Et uwe tu sababu ya Urais !! Hapana !!. Huyu Rais alikataliaa na Magufuli katakata, Magufuli alimkataa katakata, hakutaka hata awe Makamo wake, ni basi tu alichomekewa. Na Kwa Mapenzi ya Mungu na Ubovu wa Katiba yetu, Samia akawa Rais wa Bahati...
  6. M

    LGE2024 Uchaguzi ni mchakato wa amani, huru na haki. Waziri Mchengerwa ajiuzulu kutokana na mauaji ya watu watatu katika kipindi cha maandalizi ya uchaguzi

    Uchaguzi ni mchakato wa amani, huru na haki. Waziri Mchengerwa anapaswa ajiuzulu kutokana na mauaji ya watu watatu katika kipindi cha maandalizi ya uchaguzi. Kama mhusika Mkuu wa uchaguzi husika anapaswa awajibike kutokana na ukiukwaji mkubwa wa taratibu za uchaguzi. Kama hatajiuzulu mwenyewe...
  7. L

    Tanga: Polisi yawakamata na kuwashikilia Watu Sita kwa tuhuma za mauaji ya Watu Watatu waliokufa kwa kuchomwa Moto Msituni

  8. Cute Wife

    Bashe kaletwa kututoa kwenye reli suala la utekaji na mauaji ya watu wasiyojulika pamoja na kesi ya afande, tusitoke kwenye reli

    Wakuu Salaam, Mtakuwa mmekutana na vijembe kvya Bashe na Mpina, tena naye kaanza kutumia vichambo kibasaaa, na Millard eti kaweka kaweka kichwa cha kimbea, soma hapa - Hussein Bashe: Luhaga Mpina uwe na shukrani kwa serikali, chezea sekta nyingine sio kilimo Hapa anajua lazima Watanzania...
  9. Pascal Mayalla

    Kama Walioua ni "Wasiojulikana" Then Karma, Albadir Itawahusu, ila kama ni 'Wasiojulikana', Hata Albadir Haisaidii Kitu, Wametimiza Tuu Wajibu Wao!

    Wanabodi, Najua wengi wetu wameumizwa sana na kifo cha kikatili cha Mzee Ali Mohamed Kibao, natoa tena pole kwa wote. Watu wamekasirika hadi kuwasomea Albadir, hivyo mimi kama kawaida yangu, kama kuna kitu nakijua, huwa na share, leo naomba kushare kuwaelimisha kidogo kuhusu wauaji na...
Back
Top Bottom