mauaji waandamano tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania GE2025 Muandamanaji anayeharibu mali za watu hudhibitiwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria. Hii ya kuwamiminia risasi ni mpya

    Hakuna mahala popote ambapo unaweza kujustify mauaji ya yaliyotokea! HAIWEZEKANI! Inamhitajji mtu mwenye Roho ngumu sana kutetea na kuona mauaji yaliyofanyika ni sahihi. Haya si maandamano ya kwanza. Tumeona na kushuhudia maandamano mengi tu, ndani na nje ya nchi. Tumeona waandamanaji wakorofi...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 LHRC: Tume huru ichunguze mauaji na ukiukwaji wa haki za binadamu Uchaguzi Mkuu 2025 na wahusika wawajibishwe

    TAARIFA KWA UMΜΑ Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Kimesikitishwa na matukio ya mauaji na uvunjifu wa haki za binadamu wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba mwaka 2025. Wakati Rais akiahidi maridhiano tunatoa wito wa kuundwa kwa Tume huru ya Kijaji kuchunguza...
Back
Top Bottom