Baada ya mastaa wa Bongo, Wema Sepetu, Zuchu, Maua Sama kupata watoto hivi karibuni, mwimbaji wa Marekani, Ciara (40) na mumewe Russell Wilson wanatarajia mtoto mwingine, ikiwa ni mtoto wa tano kwa mwimbaji huyo na wa nne katika ndoa yao.
Ciara ametangaza habari hizi njema siku ya jana Jumapili...