WAZIRI MKUU ASISITIZA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KATIKA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI.
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesisitiza matumizi ya teknolojia za kisasa katika kilimo, mifugo na uvuvi kwa lengo la kuongeza tija, kupunguza gharama za uzalishaji na kuimarisha usalama wa chakula nchini...