Wote kwa uchache wenu humu mliofurahia video ya ajiitaye ‘Kapteni Tesha’, mmejazwa upepo tu.
Mmepewa matumaini hewa ya kudhani kuwa JWTZ linaweza kuipindua serikali ya kiraia ya CCM.
Watanzania nawajua vizuri mno.
Wanajeshi wa JWTZ nao ni Watanzania pia. Hivyo, kimsingi hawana tofauti na raia...
Kijasusi zinaitwa psyops.
Matumaini kuwa kuna mtu / watu wenye nguvu au kuna Mungu ataingilia kati na kurejesha haki zako is a powerful thing inayoweza kukufanya uendelee kungoja ili kuona nini kitatokea.
Unfortunately utangoja sana, itakuwa mara July mara September, ukija kushtuka wanaapishwa...
Ukweli ni kwamba tunasubiria embe chini ya mkaratusi.
Tunaushangaa wizi na ubadhirifu wa pesa ya umma ulioibuliwa na CAG, kwani sisi tulikuwa na mategemeo gani? Hivi mwizi anaweza kuacha asili yake? Mwizi wa shati hawezi kuacha kuiba suruali ikikaa kwenye mapito yake. Wala mwizi wa maboga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.