matukio ya soka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Khalid Aucho awapasha mashabiki wa Yanga wanaomzomea Fei Toto

    Haya ni maneno mazito ya Khalid Aucho, Mchezaji wa Yanga kwenda kwa mashabiki wa Soka Tanzania akiongea na Waandishi wa Habari baada ya kukabidhiwa Kombe la Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League. Aucho aliulizwa baadhi ya maswali ikiwemo ni nani anatamani kucheza naye na kumtaja kiungo...
  2. J

    Kwa mpira huu Yanga washukuru sana hawakufuzu Champions League, ingekuwa aibu ya rekodi

    Yanga wangefuzu Champions League kwa kuitoa Al Hilal ndio wangepangwa hili kundi hapa chini. Kwa Yanga hapa wangeondoka na pointi ngapi? Maana Al Ahly mwenyewe ana pointi 1 kwa mechi 2.
  3. S

    Tanzania miaka 60 bado tunafuta njia ya mpira

    Kama unatazama hii Mechi ya Al Ahly vs Mamelodi Sundown, halafu unamsikia kiongozi wako anakwambia sisi malengo yetu ni nusu fainali ya Champions League, mpige kibao azinduke. Hawa jamaa wapo mbali sana kisoka, tukubali mpira unanjia zake na sisi bado tupo vichocholoni tunatafuta njia (hatua)...
  4. N

    Moïse Katumbi, umejisikiaje kucheza na timu kubwa?

    Niseme nini kuhusu Yanga Africa, niambieni niseme nini? Mpaka kesho najiuliza hivi inawezekana vipi kuwa shabiki wa soka bila kuipenda Yanga? Sijawahi kupata jibu. Yanga ni furaha, Yanga ni upendo, Yanga ni kielelezo cha ladha halisi ya soka. Ifike hatua huyu Mayele tumtafutie jina lake maalumu...
  5. FT: Young Africans 3-1 TP Mazembe | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium | 19/02/2023

    Young Africans watashuka dimbani kuwakaribisha TP Mazembe ktk mchezo wa kombe la shirikisho afrika. Yanga ina historia ya kufungwa na Mazembe mara nyingi. Leo wataweza kupindua meza? Yanga wanapaswa washinde ili kulinda heshima ya nchi. Mazembe wanapewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi ktk...
  6. U

    Simba, maumivu mnayopata ni kidogo tu kulinganisha na ambayo huwa tunapitia Yanga. Huwa tunalala na viatu na kusononeka zaidi yenu

    Kwa bahati nzuri navyowajua mashabiki wa Simba kwa mpira ni kama sharehe fulani tu ambayo hata ikiwaletea maumivu basi ni siku 2 ama 3 tu maumivu yanapoa, na hata ile maumivu huwa sio kivileee. Jamani huku Yanga hali ni mbaya sana, Wananchi huwa mood zinavurugika vibaya mno, mbovu, mbaya. Yanga...
  7. Waziri Dkt. Pindi Chana alishuhudia Mchezo wa Klabu Bingwa Afrika kati ya Simba Sports Club dhidi ya Raja Casablanca

    Kuna shutuma zimetolewa na MINOCYCLINE zikiwa na lengo la kuichafua Serikali, Waziri Dkt. Pinda Chana na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo. Serikali kupitia Waziri Dkt. chana imehudhuria michezo yote ya Simba na Yanga na sio mchezo wa Yanga pekee kama ambavyo MINOCYCLINE ameeleza. MECHI YA...
  8. Kinyumenyume FC

    Habari zenu, Mpira ni kitu cha wazi, kinachezeka uwanjani, Simba wanalitia taifa aibu sana. Waliwasha moto South, jana wamerudisha gari kinyumenyume, mganga wao sijui kasomea driving school! Yanga leo wameifundisha Simba kuwa mpira unachezeka hadharani. Asanteni.
  9. Mohammed Dewji: Jana tumefungwa Magoli, leo tumefungwa Midomo

    Siyo maneno yangu, ni ya big boss MO. Kesho kutwa Mo na Azam kama TFF haitawaonea huruma na kuhairisha mechi kwa kichaka kuwa mnashiriki kimataifa.
  10. Mashabiki waliamsha baada ya mwamuzi wa kati kutoa penati dakika ya 90+2

    Mashabiki wa klabu ya Unisport FC de Bafang walivamia uwanja na kuwapiga waamuzi baada ya mwamuzi wa kati kutoa penati dakika ya 90+2 dhidi ya Victoria United katika mchezo wa mzunguko wa 13 wa Ligi ya Daraja la Pili nchini Cameroon 🇨🇲 maarufu kama MTN Elite Two. Hadi kufika dakika hiyo...
  11. Hugo Lloris ametangaza kustaafu kucheza Soka la Kimataifa

    Official, Golikipa wa Tottenham na Nahodha wa timu ya Taifa ya Ufaransa Hugo Lloris amestaafu kucheza soka la kimataifa. Hugo ameichezea Ufaransa Michezo 145 akifanikiwa kufika fainali mbili mfululizo za kombe la Dunia na kushinda 1. Hivyo baada ya kustaafu Kylian Mbappe ndiye atakuwa Nahodha...
  12. Msaada wa Dawa ya Vidonda vya Tumbo

    Kwema wakuu nasumbuliwa sana na shida ya vidonda vya tumbo nimekunywa dawa napata nafuu hali inarudi pale pale nilikutwa na hpyrol nikameza dawa nikawa fresh niliporudi hosp kuchek nikakuta mdudu hayupo lakini tumbo bado ni changamoto kupona. Kama kuna mtu anaijua tiba kamili ya huu ugonjwa...
  13. Gharama ya kuweka kambi Dubai ingetumika kusajili wachezaji bora

    Hivi kuweka kambi Bora huku ukiwa na wachezaji magarasa inaweza kusaidia kuboresha performance ya timu kweli? Unashindwa kusajili wachezaji wazuri, unakimbilia kusajili kocha mzuri na kuweka kambi nzuri halafu unategemea ufanye vizuri? Kuweka Kambi mahala pazuri au kuwa na kocha mzuri huku...
  14. Musonda: Mfahamu mshambuliaji hatari kutua Yanga wiki ijayo

    Klabu ya Yanga imefikia makubaliano na Power Dynamos kumsajili mshambualiaji hatari Kennedy Musonda kwa ada ya uhamisho wa Dollar laki moja sawa na shillingi milion 230 na Kennedy anatarajiwa kuwasili nchini wiki ijayo kujiunga na Yanga, Kitenge (2023). Sifa za huyu mwamba; ~ Unaambiwa huyu...
  15. Kama mimi ningekuwa Christiano Ronaldo ningefanya kulinda heshima yangu

    Riziki ni mafungu saba ila katika saba umebakisha moja umalize fungu lako. Ukiona umepata mafanikio makubwa tambua huko mbeleni kuna misukosuko isiyonatija. CR7 anaamini bado ni mzuri kwenye mpira na Waarabu wamemchukua sio kwa ajili ya mpira kama sanamu lao la matangazo. Ila huyu mwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…