matukio ya oktoba 29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    PostGE2025 Mahakama Kuu yaidhinisha uhalali wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Oktoba 29

    Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeidhinisha uhalali wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, baada ya kutupilia mbali shauri lililokuwa likipinga uhalali wake. Uamuzi huo umetolewa leo Ijumaa, Machi 13, 2026 na...
  2. Waufukweni

    Jumuiya ya madola kuchunguza matukio ya Oktoba 29, 2025 mwezi huu

    Jumuiya ya Madola imeipokea na kukubali dhamira ya Serikali ya Tanzania juu ya kupokea na kuwezesha ziara pamoja na kazi za Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa jumuiya hiyo Dkt. Lazarus Chakwera ambaye pamoja na msafara wake utachunguza uminywaji wa kidemokrasia na kutofuatwa kwa utawala wa kisheria...
  3. Waufukweni

    Prof. Tibaijuka: Nilipendekeza iundwe Tume ya Kijaji, ingepunguza kelele za ICC kuliko tume ya Rais matukio ya Oktoba 29, 2025

    "Rais alisema ataunda tume jambo jema kabisa na mimi nikaona kwa uzoefu wangu tuunde tume ya kijaji, ukienda Kwenye account ya X utaona kwamba nilipendekeza i iundwe tume ya kijaji. Sasa kama ilivyo mambo mengi labda haikueleweka tangu Tanzania iundwe haijawai kuunda na tume ya kijaji...
  4. DuaZaMama

    PostGE2025 Tume ya uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29 yakutana wananchi Temeke

    Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Januari 19, 2026, imekutana na Wananchi wa Wilaya ya Temeke kwa lengo la kusikiliza na kupokea maoni na ushauri. Mkutano huo umefanyika katika Ukumbi wa Iddy Nyundo, Dar es Salaam...
  5. ChekoFagia

    Tume ya uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29 yakutana na vyama vya siasa nchini

    TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 22, 2026, imekutana na viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa nchini. - Mkutano huo wa Tume na viongozi wa vyama vya siasa nchini umefanyika katika Ukumbi wa Tanganyika...
  6. Mkalukungone Mwamba

    Katibu wa CCM azomewa na wananchi wakati akitoa tuhuma dhidi ya John Heche mbele ya Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29

    Hii ndio dawa yao kwa hawa machawa wa CCM lazima wanyooshwe na ujinga wao ============= Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Tarime, Hamza Kyeibanja, amejikuta katika hali ya sintofahamu baada ya kuzomewa na wananchi ukumbini wakati akitoa tuhuma dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA...
  7. R

    PostGE2025 Tume ya uchunguzi Matukio ya Oktoba 29 yatua Mkoa wa Mara

    Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amepokea Makamishna wa Tume ya Rais iliyopewa dhamana ya kuchunguza matukio yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, mwaka jana kwa ajili ya kuzungumza na makundi mbalimbali ambapo leo wameanza kuzungumza na viongozi wa Mkoa wa...
  8. Fascinating

    Samia kukosekana kwenye list ya Forbes 2025 ni madhara ya matukio ya Oktoba 29?

    Forbes wametoa tena orodha ya wanawake wenye nguvu zaidi duniani ambayo ya mwaka wa jana (2024) Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa nafasi ya 91. Lakini cha kushangaza mwaka huu amekosekana kwenye orodha hiyo huku wakionekana Wanawake wengine Wakiafrica zaidi ya nane, kama vile Rais mpya wa Namibia...
  9. ChekoFagia

    PostGE2025 Wakili Mwasipu: Ombi la kufungua maombi ya msingi yamekubaliwa, maombi ya tume ya uchunguzi kusitisha shughuli zake yamekataliwa

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam imewaruhusu waleta maombi kufungua kesi ya msingi, katika shauri namba 30210/2025 linalohusu kupinga uamuzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuteua Tume Huru ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani nchini yaliyotokea Oktoba 29...
Back
Top Bottom