matukio oktoba 29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    PostGE2025 Mwananchi: Nilizungumzia haki kuelekea uchaguzi Oktoba 29, ikaniletea shida kutafutwa hadi nyumbani kwa wazazi wangu, nikaenda uhamishoni wiki 3

    Katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 unaoendelea leo Machi 18, 2026 Arusha kwenye ukumbi wa Centre house, kijana mmoja amehoji uwazi wa kuzungumza akielezea changamoto aliyopata kutafutwa baada ya kutoa kauli Oktoba 22, 2025 "...
  2. Cute Wife

    Ni miezi mitatu toka Rais Samia ateue Tume ya kuchunguza matukio ya Oktoba 29, nini matarajio yako? Je, tunaelekea pazuri?

    Wakuu, Ni miezi mitatu sasa (siku 92 tukiwa precise) toka Samia afanye uteuzi wa Tume ya Kuchunguza 'matukio' ya Oktoba 29, 2025, akisema hajui kwanini tuliandamana kugomea uchaguzi, wa kina nani waliua watu vile na kwa amri ya nani :BearLaugh::BearLaugh: Dunia ina mambo, anyhu.... Hii...
Back
Top Bottom