matibabu ya kibingwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Mkurugenzi wa Muhimbili, Dr. Delilah aongoza huduma za uchunguzi na matibabu ya kibingwa Kilosa, Morogoro

    Katika kuhitimisha siku mia za uongozi wa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye alielekeze huduma za matibabu ziwafikie wananchi popote walipo, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dkt. Delilah Kimambo, ameendelea kuwa kiongozi wa mfano kwa kusimamia na kutekeleza maagizo hayo...
  2. Taasisi ya Mifupa-MOI

    Mtoto aliyesaidiwa na Rais Samia aanza matibabu ya Kibingwa MOI

    Mtoto Nicholaus Nkinga (9) ambaye changamoto yake ya matibabu ya mguu iliyomgusa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameanza rasmi kupata matibabu ya kibingwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) Jijini Dar es Salaam. Mtoto huyo mwenye...
  3. Taasisi ya Mifupa-MOI

    MOI yatoa huduma ya matibabu ya kibingwa na kibobezi ya mifupa mkoani Arusha

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inashiriki katika kambi ya madaktari bingwa na wabobezi inayofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha. Kambi hiyo imeanza rasmi leo Juni 23, 2025 na itafikia tamati tarehe 29, Juni 2025, ambapo Madaktari bingwa wa MOI wanatoa...
  4. Munamuge

    Kliniki za Matibabu ya kibingwa wilayani kutokujumisha Wafamasia Bingwa na Wateknolojia Bingwa wa Maabara za Afya kwenye jopo, Haijakaa sawa

    Salaam, mimi nilie mdogo kati yenu nawasalimu. Kwanza kabisa napenda kutambua mchango mkubwa na matokeo chanya yatokanayo na kampeni ya huduma za kibingwa katika Hospitali za wilaya na baadhi ya Vituo vya Afya zinazoendelea nchini kote. Mwezi May mwaka huu, kampeni hizo nadhani zimeanza awamu...
  5. Taasisi ya Mifupa-MOI

    MOI kwa kushirikiana na ATAPE watoa matibabu ya kibingwa bure kambi maalum Mbagala

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Umoja wa Wanataaluma na Wajasiriamali wa Kanisa la Wa Adiventista Wasabato Tanzania (ATAPE) wametoa matibabu ya kibingwa na kibobezi bure katika kambi maalum kwa wakazi wa Mbagala Jijini Dar es Salaam. Akizungumza wakati wa...
  6. B

    Kambi ya madaktari bingwa bobezi yaanza hospitali ya Wilaya ya Bukoba iliyopo tarafani Katerero

    📌 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bukoba Vijijini Ndugu Fatina Hussein Laay awakaribisha wananchi wote. Kambi ya Siku 5 mfululizo yaanza leo Jumatatu Hospitali ya Wilaya- Bujunangoma kutoa huduma mbalimbali za Kibingwa Bobezi, Wananchi waitikia wito na wote mnakaribishwa. Huduma za Kibingwa ambazo...
  7. C

    SoC04 Huduma za Matibabu ya Kibingwa na Ubingwa Bobezi Nchini Tanzania: Faida, Changamoto na Mbinu za Kupata Matokeo Chanya

    Tanzania imepiga hatua kubwa katika sekta ya afya, hususan katika huduma za matibabu ya kibingwa na ubingwa bobezi. Huduma hizi zinahusisha upasuaji wa moyo, upandikizaji figo, upandikizaji uroto, upandikizaji mimba, matibabu ya saratani kwa mionzi, na nyinginezo. Maendeleo haya yanachangiwa na...
Back
Top Bottom