matapeli wa mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TODAYS

    Hawa Jamaa Wanataka Kunitapeli au Watanipa Ninachoagiza

    Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi toleo la trh 19.2.2021 kampuni ya JUMIA inaonekana ilifungwa rasmi kutoa huduma nchini. Ila week iliyopita niliwaona wapo active mtandaoni ikabidi niingie niangalie wana nini? Nikakutama na bidhaa kadhaa, nikaona inafaa, nilipo order wakanipa maelekezo ya fomu...
  2. I

    TCRA kweli wana nia ya dhati ya kushughulikia hawa matapeli wa mitandaoni?

    Utapeli kwa njia ya kimtandao ya simu umekuwa ukishika kasi kila siku, kama TCRA wangekuwa kweli wana nia ya kutokomeza ama kupunguza,ingewezekana. Wana namba yao, wanadai ukituma sms ya namba ya tapeli wanaifungia lakini cha ajabu, unaweza kutumia ujumbe na tapeli, ukatuma hizo namba kama...
  3. N

    DOKEZO Jinsi Ifakara ilivyotekwa na kukithiri magenge ya uhalifu na matapeli wa mtandaoni maarufu kama halo-haloo

    Habari wanajamvi, Wilaya ya Kilombero eneo la Ifakara limekumbwa na wimbi la MATAPELI WA MTANDAONI maarufu kama halohaloo. Tumejaribu kila njia kuripoti katika vyombo vya usalama lakini hakuna hatua zozote zinachukuliwa dhidi ya MATAPELI Hawa.. Cha kusikitisha polisi wilaya ya Kilombero haswa...
  4. Blasio Kachuchu

    Wananchi kuweni makini na matapeli wa Mitandao

    Na Mwandishi Wetu. Jamii imeaswa kuwa makini dhidi ya matapeli wa mtandaoni. Ushauri huo umetolewa na Mtaalam wa Uchunguzi wa Udanganyifu wa Kiforensiki, Rona Katuma kutoka mtandao wa Vodacom wakati akitoa 'mada njia za kuepuka matapeli wa mitandani' mapema Makao Makuu ya Ofisi za Vodacom...
  5. Barakha John

    Viashiria /dalili 6 vya kujua kuwa unatapeliwa mtandaoni

    Unajisikiaje, unatafuta pesa mingi na Kujikusanya alafu mtu anakuja kukuibia Kirahisi tu. Inaumiza eeh! Hivi karibuni nimekuwa nikipata malalamiko mengi kutoka kila kona ya Tanzania. Hapa naamanisha unaweza kuipenda bidhaa fulani wewe upo mkoa A na unamtumia muuzaji mkoa B alafu baada ya...
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    Utapeli Mpya umeingia Mjini Matapeli Wanajifanya TCRA Muwe Waangalifu sana Kwenye Simu zenu wanakuibieni Pesa zenu

Back
Top Bottom