matakwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Viongozi sikilizeni matakwa ya Wananchi, zama hizi Tofauti

    Kumekuwa na kusigishana baina ya viongozi na wananchi kwa sababu ya tofauti za kimitizamo. Hii imeshuhudia kwenye maeneo mengi. Tokea mto Mara, Katiba Mpya, wamasai Ngorongoro, dhuluma za polisi, nk. Tofauti ni jambo la kheri ila ikumbukwe mwananchi ndiye anapaswa kutamalaki. Viongozi...
  2. Si Matakwa ya watawala kutuletea katiba mpya. Ni maagizo ya Wananchi

    Si kazi ya watawala kuleta katiba ya wananchi, labda atokee mtawala mmoja akawa ni mwenye kutumia busara na hekima za kupitiliza kitu ambacho Afrika hakipo kabisa. Katiba mpya nyingi Afrika ni matokeo ya matukio mabaya ndio watawala huona na kukubali yaishe. Je, tunataka kwenda huko tulikozoea...
  3. Umuhimu wa kususia bidhaa/huduma kushinikiza Serikali ifate matakwa ya wananchi

    Wasalaam wanaJF, Nikienda moja kwa moja kwenye mada, serikali iliyopo madarakani imekuwa na kawaida ya kudharau sana wananchi na kufanya wanachotaka. 1. Kodi zisizo na ulazima tena kwa vitisho na kejeli. 2. Matumizi mabaya ya vyombo vya dola. Hii sio kwa wapinzani tu, kuna raia wa kawaida...
  4. Angalizo: CCM ni CCM; lazima yeyote iliyompa dhamana aelewe sera na matakwa yake

    Ieleweke CCM ni CCM na kina Muundo, Sera na mwenendo wake. Kwa muktadha huo kila awaye mwenye uwakilishi utokanao na CCM inampasa bila hiari kufuata, kuheshimu na kuuishi u-CCM ulio na muundo, sera na miiko yake. CCM haitamvumilia yeyote yule atayekiuka kwayo yale yawayo mahitaji ya wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…