Tanzania imebarikiwa utajiri wa kila kitu, lakini tunashangaa huduma ya afya ni mbovu, tumekuja hapa Tunduru kinamama wanalalamika wakienda kujifungua wanauziwa watoto, vifaa vya kujifungulia hakuna, wazee wanatozwa hela, lakini tunashangaa wenzetu wa Chama Cha Mapinduzi wanajisifia eti nchi...