Wapendwa wasomaji, leo tunazungumzia jambo linalowakumba mastaa wetu wa hapa Bongo. msanii au mtu maarufu akishapata kajina tu, mara moja anaanza kuiga mastaa wa Marekani ambao wana pesa za kutosha. Lakini je, wao wana pesa hizo ? Wachache sana wanazo ila wengi hawana ! Walichonacho ni jina tu...
Alitoka kimuziki mwaka 2002 na wimbo wake " Ulinikataa". He was very big in the industry and he made a lot of money ( KWA viwango vya wakati huo)
Then baada ya miaka kadhaa akapotea hewani.
SABABU HALISI ILIYO FANYA Q CHILA AFE KISANII.
1. Alikuwa anatumia pesa zake vibaya bila mipango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.