maslahi ya umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    PostGE2025 Wasanii hawaadhibiwi, wanawajibishwa kwa kupuuza maslahi ya umma

    Kwa takribani kipindi cha miezi miwili sasa, nchini Tanzania kumeshuhudiwa kampeni za kimtandao zinazoendeshwa na baadhi ya watu maarufu na wanaharakati, zikihamasisha umma kusitisha kuzipa sapoti kazi za wasanii wa Tanzania. Kampeni hizi zimehusisha kutosikiliza nyimbo zao, kutohudhuria...
  2. M

    Kuna ambalo hajalivunja kweli? Katiba, Maslahi ya Umma, Tunu ya umoja. Awe makini na vyombo ni kama majini vile

    Vyombo kazi yao na kiapo Chao ni kulinda katiba, Maslahi ya Umma, Tunu za Taifa. Mpaka Sasa amevunja yote huenda vyombo vinashughulika nae bila yeye kujua. 1. Mamlaka ya nchi inatoka kwa wananchi. Kajipachika. Kavunja katiba. 2. Wameuawa maelfu, internet imezimwa, vikwazo vya kiuchumi n.k...
  3. Mkalukungone Mwamba

    Simbachawene: Uamuzi kujiuzulu kwa Ndugai ulitoa fundisho kwamba kiongozi unapojiuzulu kwa maslahi ya Umma sio udhaifu bali ni kujenga heshima

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene amesema uamuzi wa Ndugai kujiuzulu Uspika wa Bunge mwaka 2022 iliweka heshima na ushujaa wa pekee katika siasa za Kiafrika Simbachawene ametoa kauli hiyo alipofika kuhani msiba nyumbani kwa...
  4. Mindyou

    Olengurumwa ashinda rufaa dhidi ya Serikali. Vifungu vilivyowabana wananchi kufungua kesi zenye maslahi ya umma na kumshtaki Rais vyafutwa!

    Wakuu, Kwa wale wapenda demokrasia na utawala wa sheria leo itakuwa siku nzuri sana kwao =========== Mahakama ya Rufaa ya Tanzania leo imeamua kufuta vifungu vya sheria vilivyokuwa vinazuia watu kufungua kesi zilizobeba maslahi ya umma. Uamuzi huo umetolewa katika kesi Rufaa Na. 134 ya mwaka...
  5. Nyankurungu2020

    CHADEMA ya Lissu ipo kwa maslahi ya umma . Haipo kwa ajili ya kuganga njaa. Ndio maana inachukiwa na watawala wa CCM

    Wanachopambania CHADEMA ya Lissu ni maslahi ya taifa letu. Kwamba kuwe na katiba ambayo itatoa haki kwa Watanzania kuwa na viongozi ambao wao wanaona wanafaa kuwawakilisha. Maana yake ni kutokuwa na Bunge amabalo litakuwa kama wakala serikali ambayo haina tija kwa wananchi. Wao, wanaCCM...
  6. mwanamwana

    PreGE2025 Vyombo vya Habari visitumike kudhoofisha vyama vya upinzani. Vitangulize weledi kwa maslahi ya umma

    Katika siasa za Tanzania, vyombo vya habari vina nafasi kubwa ya kuathiri mitazamo ya wananchi. CCM imekuwa na ushawishi mkubwa juu ya baadhi ya vyombo hivyo, hali inayodhoofisha upinzani. Kwa mfano, vyombo vingi vinatangaza mafanikio ya CCM huku vikifunika au kupotosha taarifa za wapinzani...
  7. Dalton elijah

    Maslahi ya mawakala sio maslahi ya umma, taifa wala sio uhifadhi

    Migogoro Wa Ardhi unaoendelea Ngorongoro umekuwa ukijengewa dhana kadhaa ili ikubalike na wengi. Mara ni Mpango wa kuokoa uhifadhi, mara kulinda masalia ya wanyama, mara kulinda vyanzo vya maji, mara kulinda malikale (labda Wamasai wasikanyage fuvu la kale au nyayo labda wanadhani Wamasai ni...
  8. Kichuguu

    Vyombo vingi vya habari havina taarifa za kutosha za yanayoendelea nchini. Tunategemea hawa ndio wahabarishe umma juu ya mambo ya msingi?

    Kila wakati huwa ninajiaminisha kuwa umma mkubwa wa watanzania hawako informed kabisa, yaani wako kwenye gizo totor kuhusu mambo ya nchi yanayogusa maisha yao. Hii inakuwa reflected na idadi ya ounline news outlets tulizonazo. Jambo kubwa lililotokea kwenye serikali jana ni mabadiliko ya...
  9. I

    Kesi za Maslahi ya Umma Nchini Tanzania: Uchambuzi na Maoni

    Muhtasari Kesi za maslahi ya umma ni moja ya silaha ya kupambana na malalamiko kama vile uvunjifu wa haki za Binadamu unaofanywana serikali au taasisi zisizo kuwa za kiserikali. Mashauri hayayamekuwa yakitumika kushinikiza upatikanaji wa haki pamoja na Ulinzi wa haki za watu masikini na nakundi...
  10. S

    Viongozi wakiacha kujipigania wao na familia zao hatutakuwa watumwa

    Viongozi wakiacha kujipigania wao na familia zao (kununua magari ya kifahari, ziara za gharama nje ya nchi) wakapigania taifa kwa dhati hatutakuwa watumwa wa misaada ya kiteknolojia, fedha, na mengineyo.
  11. R

    PreGE2025 Luhaga Mpina: Nchi sita za Afrika zilizopindua Serikali zao zilikuwa sahihi

    Salaam, Shalom!! Akiongea kupitia press aliyoitisha nje ya Bunge amedai kuwa UMOJA wa Afrika haupasi kuzisimamisha uanachama Nchi 6 zilizopindua Serikali zao kwa sababu Watawala waliopinduliwa hawakujali sauti na matakwa ya wananchi. Amedai kuwa RUSHWA ikitamalaki, ukiukwaji wa HAKI za...
Back
Top Bottom