mashariki

The Eastern Province (Swahili: Mashariki) of Kenya was one of 8 Provinces of Kenya. Its northern boundary ran along with that of Ethiopia; the North Eastern Province and Coast Province lay to the east and south; and the remainder of Kenya's provinces, including Central Province, ran along its western border. The provincial capital was Embu.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni kama Ujerumani mashariki kabla ya 1989

    Ni Muda tu lakini Tanzania itakuwa na mfumo kama wa Kenya kwasababu watu hao hao, wote wanapenda uhuru , jamii ni moja, utamaduni ni mmoja. Tofauti ya Kenya na Tanzania ni mifumo tu. Mfumo wa Kenya utashinda kwasbabu unaleta maendeleo zaidi na jamii ya watu wa Kenya na Tanzania wanapenda uhuru...
  2. JamiiForums Tanzania Martha Karua aruhusiwe kuingia na aendelee na harakati zake, kuzuia ni doa Afrika Mashariki

    Ombi langu mamlaka zimruhusu aingie aendelee na shughuli zake, afrika ya mashariki ni moja, hasa Tanzania, Kenya na Uganda, issue ndogo ndogo za kila lissu na wanaharakati wengine zisitukwaze tukaja haribu sifa ya taifa letu, as I spoke mimi CCM damu, lakini hili liachwe liendelee, na waendelee...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais mmoja katika Jumuiya ya Afrika Mashariki yu mahututi

    Habari zilizonifikia ni kuwa kuna Rais mmoja katika nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika ya Mashariki yu mahututi na muda wowote Taifa lake linaweza kutangaziwa habari mbaya. Tukiwa kama wana Jumuiya sio vibaya tukaelekeza maombi kwa Rais huyo ili arudi katika utimamu wake na aendelee kuwatumikia...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mji wa Puer wajibebea umaarufu Asia Mashariki na kwingineko kwa uzalishaji wa Chai yenye ladha tamu ya Pu’erh

    Wakati nilipotembelea mkoa wa Yunnan moja ya mambo ambayo sitakuja kuyasahau ni kupita katika eneo maarufu la Chai ya Pu’erh. Katika safari yangu ya treni wakati natoka Kunming mji mkuu wa mkoa wa Yunnan kuelekea Xishuangbanna, tulipitia kituo kimoja kiitwacho Puer. Mji huu wa Puer ambao upo...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Amani itapatikana Mashariki ya Kati kwa Wapalestina kukiri Israel ni Familia teule, takatifu yenye baraka zote za Mungu wao aliye wa kweli

    Wadau hamjamboni nyote? Huu ni ushauri wa bure kabisa kwa ndugu zetu Wapalestina na waarabu kwa ujumla wao Njia pekee ya kumaliza vita Mashariki ya kati na kuishi kwa amani ni kutambua na kukubali kuwa Mayahudi ni taifa teule lenye baraka zote za Mungu Watambue kuwa kushindana na wsteule hao...
  6. JamiiForums Tanzania Balozi Mbundi aongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Makatibu Wakuu wa Afrika Mashariki

    Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Balozi Stephen P. Mbundi leo tarehe 8 Mei, 2025 ameongoza ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kikao cha Makatibu Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
  7. JamiiForums Tanzania Mpango wa Rwanda kupokea wahamiaji kutoka Marekani (kwa Trump) si tishio kwa usalama wa Afrika Mashariki?

    Serikali ya Rwanda imetangaza kwamba iko katika mazungumzo ya awali na serikali ya Rais Donald Trump kuhusu kuwapeleka nchini Rwanda wahalifu waliokamilisha adhabu zao magerezani nchini Marekani. Kauli hii imezua maoni mseto nchini Rwanda na hata kwa africa mashariki watu wenye historia ya...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amehitimisha ziara yake nchini Vietnam

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amehitimisha ziara yake katika Jamhuri ya Kisoshalisti ya Viet Nam. Katika ziara hiyo ameshiriki Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano wa Taifa hilo na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wamlaumu Uhuru Kenyata kwa kuwashawishi Vijana wa Africa mashariki walete mabadiliko kwa kushika madaraka

    Wabunge wazee wamemlaumu Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyata kwa kuwataka Vijana wa Africa mashariki waamke kutoka usingizini Wabunge hao wamesema Vijana wakipewa madaraka makubwa nchi za Africa mashariki hazitatawalika Source: Citizen tv Kwako kijana Lucas Mwashambwa
  10. JamiiForums Tanzania Israel inavuna ilichopanda mashariki ya kati na Afrika.Tatizo hawataweza kuandaa na kula karamu yake

    Kuna taarifa kuwa hakuna utawala wa nchi yoyote ile ya kiarabu na kiislamu ambayo haina kiongozi wa ngazi ya juu ambaye si wakala wa Israel.Baadhi ya nchi zina mpaka kiongozi mkuu ambaye ni mjumbe anayefanya kazi za kiyahudi. Utafiti huo umekuwa ukitajwa muda mrefu lakini haikujulikana ukweli...
  11. JamiiForums Tanzania Afrika Mashariki yarindima, wana Kanda ya ziwa kufurika Mwanza 30 April 2025 Rais Samia akizindua daraja refu kuliko yote Afrika Mashariki

    Kazi iliendelea. Kenya wameandika Afrika Mashariki imetanda habari za uzinduzi wa daraja refu kuliko yote katika ukanda huu. .
  12. JamiiForums Tanzania Gaza ilikuwa Paradiso ya Mashariki ya kati!!

    Gaza haikuwa gereza kama wajinga na wapumbavu walivyokuwa wanaaminisha watu. Gaza ilikuwa ni johari. Watu waliishi vizuri zaidi kuliko katika nchi nyingi duniani, Lakini Hamas kwa ujinga wao na uovu wa kutosha walifanya mashambulizi ambayo yalibadilisha kila kitu huko Gaza!!! Sasa hivi Gaza...
  13. JamiiForums Tanzania Je, jeshi linalolinda mfumo usio wa haki bado ni la wananchi? (mtazamo kutoka Afrika Mashariki hadi Sahel)

    Katika siasa za Afrika, kuna tofauti kubwa kati ya majeshi ya baadhi ya nchi. Wengine hujiona kama watumishi wa dola, wengine kama watumishi wa watawala, na wachache kama wakombozi wa kweli. Nimekuwa nikifuatilia mifano mbalimbali, na hii ndiyo taswira niliyoona: 1. Madikteta wengi huweka watu...
  14. JamiiForums Tanzania Ukikusanya nchi nane (8) za Afrika Mashariki hazifikii GDP ya nchi ndogo kabisa ka Singapore

    Ukikusanya haya majinga manane(8) ya Afrika Mashariki ●Tanzania ●Kenya ●Uganda ●Rwanda ●Burundi ●Somalia ●D.R.C ●South Sudan Yote kwa pamoja hayafikii GDP ya kanchi kadogo kabisa ka Singapore. Mind you Singapore ina jumla ya ukubwa wa 735km² na population isiyozidi 6Mln wakati haya majinga...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Ukraine inavyoenda kugawanywa!

    Ngoma inaelekea mwisho coz wakubwa wa dunia wanakaribia muafaka! Ukraine Mashariki vs Ukraine Magharibi! https://x.com/worldupdates245/status/1910985103620047014 https://x.com/worldupdates245/status/1910984807510688233 Nb: Wamagharibi watakubali kuachia Mashariki kwenye rasilimali adimu??
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya kuona Rais wa Uturuki anaitamani sana Syria, Benjamin Netanyahu aizibia njia Uturuki

    Netanyahu kama alivyo mwenzake Donald Trump akili zao si za kawaida.Wanajiamini kuwachokoza na kutaka kupigana na kila mtu duniani kwa kujiamini kwa hali ya juu. Hiyo ni kwa vile Israel kwa sasa imeridhika kuwa waarabu wote ni kama maboya tu.Sasa hivi wamejiamini kuichokonoa Uturuki ambapo hapo...
  17. JamiiForums Tanzania Mama wa madege-vita yote b-2 kwa sasa wako diego-garcia tayari kwa kazi maalum huko mashariki ya kati

    Ndege-vita sita aina ya B2 kwa sasa zimo kwenye kisiwa cha Diego Garcia. Zikisubiri tu maelekezo.!!!!
  18. JamiiForums Tanzania Ndege-vita b-1 lancer strategic bomber ikielekea mashariki ya kati tayari kwa kazi maalum!!

    B-1 Ndege-Vita ya Kimkakati kutoka Marekani nayo inaelekea huko Mashariki ya kati ili kuungana na Baba wa madege yote B-52 watakuwa huko Mashariki ya kati kusubiri kupangiwa kazi ya kufanya Katika eneo hilo!!! Safari hii kuna jibu lazima lipigwe!!!!
  19. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa kina wa mgogoro wa Mashariki ya kati

    1. Utangulizi wa Mgogoro wa Mashariki ya Kati Mgogoro wa Mashariki ya Kati ni mojawapo ya migogoro sugu zaidi duniani, unaohusisha mivutano kati ya Israel na Palestina pamoja na ushawishi wa mataifa makubwa kama Marekani, Urusi, Iran, na mataifa ya Kiarabu. Mgogoro huu unajikita katika masuala...
  20. JamiiForums Tanzania Mhalifu wa kivita Thomas Lubanga Ametangaza Kundi jipya la waasi Mashariki Mwa Kongo

    Mhalifu wa kivita aliyepatikana na hatia nchini Uganda ametangaza vuguvugu jipya la waasi lililo na nia ya kuiangusha serikali katika jimbo la Ituri mashariki mwa Kongo, na kusababisha tishio jingine la usalama katika eneo hilo lililokumbwa na vita. Kuundwa kwa kundi la Azimio la Mapinduzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…