masaa 24

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO NMB, kwanini mtumie saa 24 kushughulikia muamala ambao HAUJAKAMILIKA?

    Nilikuwa natoa hela bila card (PESA FASTA) kwenye ATM ya NMB DODOMA leo, baada ya kumaliza kutoa kwenye simu nikawa nasubiria meseji ya namba ya siri ili iniwezeshe kutoa kwa kwenye ATM lakini nilisubiria kwa zaidi ya dakika 15 lakini sikupata Meseji. Nikawapigia huduma kwa wateja wakaniambia...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Tuchambue saikolojia ya Mtu ajiitaye Agustino Polepole aliyetoa Masaa 24

    Mpo salama! 1. Nimekuwa miongoni mwa walioiona Clip inayomuonyesha mtu aliyejitambulisha kwa jina la Agustino Polepole. Ambaye mwenye anasema ni ndugu wa Humphrey Polepole. 2. Tangu imeripotiwa na kudaiwa Humphrey Polepole amepotea ndipo Mtu huyu alipojitokeza. Na watu wengi tumemjua kuanzia...
  3. DuaZaMama

    Mdau ukipewa nafasi ya kuwa rais wa JMT kwa masaa 24 ungetamani kufanya nini?

    Watangazaji waandamazi wa Clouds Redio wakijibu swali linalouliza Je, ukipata nafasi ya kuwa rais kwa saa 24 ungetamani kufanya nini au ungebadilisha kitu gani? binafsi nimependa REFORMS na katiba mpya.
  4. Doto12

    Masaa 24 biashara Mbezi Louis

    Nikishuhudia uzinduzi kufanya biashara masaa yote 24 siku Saba za wiki mliopo mbezi tupeni ushuhuda hiyo biashara inafanyika masaa yote?
  5. Fbn

    Bado Tanzania kazi za kufanya kwa masaa hakuna halafu mnataka jiji la Dar liwe linafanya kazi masaa 24

    Tuna safari ndefu sana hususani hawa tuliwapa madaraka ndio watupangie kulingana na uwezo wao. Ni jambo zuri jiji kama dar kutaka liwe linafanya kazi masaa 24 yani watu wapige kazi usiku kucha. Je, hizo kazi mshajiuliza kuhusu waajili na wenye hizo kazi. Kazi nyingi za tanzania ni kama...
  6. Noel france

    Kwa sasa inatosha,itabidi tuungane na wana Mbeya kumtafuta Mdude. Masaa 24 hadi tumpate.

    Ndugu zangu Watanzania,naombeni tushirikiane ili tuwe salama ili si jukumu la watu wachache na wala si swala la viongozi wa chadema pekee yao. Tafadhali tunaomba sana tuamke tupambanie haki zetu tukiwa kama nchi huru na wala hatupo utumwani. Tukisimama kwa pamoja tunakuwa salama sana kuliko...
  7. FRANCIS DA DON

    Miaka milioni 200 ijayo, siku itakuwa na masaa 25 badala ya masaa 24

    Kwa hesabu za haraka haraka nilizopiga, kwa kutumia known constants za mzunguko wa dunia, ni kwamba baada ya miaka milioni 200 ijayo kutoka sasa, siku moja itakuwa na masaa 25 badala ya masaa 24 ya sasa. Hii inamaanisha kwamba, viumbe kama dinasours walioishi miaka milini 200 iliyopita, siku...
Back
Top Bottom