martha karua

Martha Wangari Karua (; born 1957) is a Kenyan politician and an advocate of social justice. She is currently the running mate for Azimio candidate Raila Odinga for kenyas' presidential elections set for August this year. She is a former long-standing member of parliament for Gichugu Constituency and an Advocate of the High Court of Kenya. She was Minister for Justice until resigning from that position in April 2009. Karua has consistently fought for the protection of women's rights and improvements to the democratic process.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanasheria Martha Karua atua Kisutu kutoka Kenya kumpambania Tundu Lissu

    Wakili Mpale Mpoki anayeongoza jopo la Mawakili wa Kumtetea Tundu Lissu ameimbia mahakama kuwa leo kuna observe kutoka Kenya Wakili nguli Martha Karua. Lakini pia yupo Wakili Ferdinand Makore na Michael Lugina kwa upande wa utetezi. Martha Karua ni mwanasiasa mashuhuri wa Kenya, wakili wa...
  2. JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali akutana na Martha Karua

    Mpigania Uhuru wa Tanzania, Mdude Nyagali amekutana na kufanya Mazungumzo na Mwanasiasa wa Kenya Martha Karua. Taarifa kamili hii hapa Nimefurahi kukutana na Matha Karua, kiongozi wa People's Liberation Party (PLP). Matha Karua ni kama Winnie Mandela wa Kenya kwa sababu kipaumbele chake ni...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Bi. Martha Karua na siri ya Ushindi wa Urais wa Mzee Raila (Baba)

    Nchi ya Kenya inatarajia kufanya uchaguzi wa Rais wa awamu ya 5 mapema mwezi Agosti 2022. Duru za uchaguzi zinaonesha kumpa nafasi zaidi Bwana Raila Odinga ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo. Idadi kubwa ya Wapiga kura wa Kenya, wana imani zaidi na kambi ya Mzee Raila sio kwasababu ya...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila, Karua: This is How We Will Lower Cost Of Living Within First 100 Days In Office

    Azimio la Umoja One Kenya coalition party presidential candidate Raila Odinga and his running mate Martha Karua now say they will lower the cost of living in Kenya within their first 100 days in office, if elected to the house on the hill at the August 9 polls. This comes after a recent report...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Siasa za Afrika na maajabu ya Martha Karua

    Huyu mama ni mgombea mwenza wa Baba Rails Omolo Odinga. 1. Ni mwanasheria kitaaluma. 2. Waziri wa muda mrefu ILA 3. HAAMINI KAMA KUNA MUNGU WALA HAJAWAHI KUKANYAGA MSIKITINI WALA KANISANI. 4. YUPO SINGLE ANAENJOY HAJAWAHI KUOLEWA, HANA MTOTO WA KUWA NA MCHUMBA. YAJAYO YANAFURAHISHA.
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Martha Karua ateuliwa kuwa mgombea mwenza wa Raila Odinga

    Akizungumza katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kenyatta, Bw Odinga alimsifu Bi Karua kwa bidii na rekodi yake ya haki za binadamu. "Nilimhitaji Joshua wa kweli kwenye kando yangu, ambaye hatakuwa koti la ziada. Baada ya kutafuta na kutafakari, pamoja na mashauriano, nimefikia uamuzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…