maridhiano ya kitaifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JF Analyst

    Je, Serikali inayaendea maridhiano kwa maslahi ya Taifa? Kauli za viongozi kuhusu maridhiano zinabeba dhamira ipi?

    Wimbo wa maridhiano umekuwa ukisikika masikioni mwa Watanzania kabla na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025. Hata hivyo, hadi sasa umebaki kuwa kitendawili kinachohitaji kuteguliwa. Wapo walioimba wimbo huu kabla ya uchaguzi. Wanaharakati, baadhi ya viongozi wa dini na wanasiasa...
  2. M

    Unataka Umoja wa kitaifa? Unataka Maridhiano?; Kamwe usiibe Uchaguzi

    Kitendo cha watu kuchagua kiongozi wao ni jambo kubwa sana (Sacred). Ukiiba uchaguzi umepanda mbegu ya Uasi na mgawanyo ndani ya Taifa. Siku si nyingi Watanzania mitaani watakuwa na Silaha, Watanganyika watachoma Bendera za Tanzania na kupandisha Bendera ya Tanganyika, wengine wataenda mbali...
  3. R

    PostGE2025 Sheikh Mussa Kundecha: Tunaunga mkono mchakato wa maridhiano ya kitaifa yaliyopendekezwa na Rais

    Sheikh Mussa Kundecha akizungumza na Vyombo vya habari akiwasilisha Tamko la Jumuiya ya Taasisi za Kiislamu leo Novemba 20, 2025 amesema wanaunga mkono mchakato wa maridhiano ya kitaifa yaliyopendekezwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania n kuwa wapo tayari kama jumuiya kushiriki na...
Back
Top Bottom