Baada ya internet kuwashwa , baadhi ya watu maarufu kama ndumi la kuwili Boniface mwabakusi raisi wa TLS, na wengine wengi wameanza kuibuka na hoja za maridhiano ya kitaifa?
Swali langu kwenu nyinyi vichwa nazi, hayo maridhiano yenu mnataka yafanyike baina ya nani na nani? Na kwa faida ya nani...