Septemba 18, 2025 mji mkuu wa Guinea, Conakry, ulijaa shughuli za kampeni huku wananchi wakijiandaa kupiga kura ya marekebisho ya katiba ambayo inaweza kumruhusu kiongozi wa mapinduzi Col. Mamadi Doumbouya kutafuta urais. Shughuli mbalimbali zikiwemo kusoma Quran, tamasha za reggae na sala...
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman, amesema akipata ridhaa ya kuongoza dola, ataanza na marekebisho ya Katiba ili kuvifanya visiwa hivyo kuwa mikononi mwa Wazanzibari.
Othman ameahidi Wazanzibari watakuwa na uhuru wa kuhoji kuhusu mwenendo wa uendeshaji...
Kama kurekebisha Katiba yenu jambo ambalo ni kubwa Sana ndani ya mwaka mmoja mmeweza kufanya mara mbili, kwa nini hamtaki kurekebisha baadhi ya vifungu vya Katiba Tanzania pamoja na Sheria za uchaguzi?
CCM inaogopa uchaguzi huru na wa haki kuliko inavyoogopa kifo.
Walafi wa mali za Nchi wanasema mara ooh! Muda wa kufanya marekebisho ya katiba ya nchi haupo !! Sasa kiko wapi!!! Mbona mmeitana kubadili vifungu vya katiba ccm ili kulinda maslahi yenu yanayotishiwa!? Mungu atawafunua kila hila yenu.
Hali iliyopo kuelekea uchaguzi wa 2025 si nzuri huo ndio ukweli tunaenda kwrnye uchaguzi tukiwa tumegawanyika kama TAIFA.
Hii ni kutokana na hofu ya wananchi haki kutendeka katika uchaguzi huu. Nadhani uchaguzi wa serikali za Mitaa 2024 ndio umechagiza hofu hii tukubali tusikubali huo ndiyo...
Imefikia mahali ambapo viongozi wa upinzani, viongozi wa kidini, taasisi za kijamii za ndani na nje, ofisi za ubalozi, watu binafsi mmoja mmoja au kama vikundi, nk, wakatamka jambo lolote kama mashauri au kukosoa kuhusu mustakabali wa uongozi nchini Tanzania wenye kuboresha haki, uongozi bira...
Katika kipindi hiki ambacho nchi inakabiliwa na changamoto mbalimbali za kisiasa, ni muhimu kwa vyama vya siasa kuangalia upya katiba zao ili kuhakikisha ufanisi na uendelevu wa shughuli zao.
Katiba ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ina muundo mbovu ambao unahitaji marekebisho ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.