Ripoti: Iran Yajaribu Kushambulia Kambi ya Marekani katika Bahari ya Hindi
Iran ilirusha makombora mawili ya balestiki kuelekea kambi ya Marekani huko Diego Garcia katika Bahari ya Hindi. Maafisa kadhaa wa Marekani waliambia The Wall Street Journal kwamba makombora hayo hayakugonga kambi hiyo...
Mashirika ya Ujasusi ya Mataifa ya Rwanda, Kenya, Marekani na Uingereza sasa yanapambana kuyafanya Mataifa yao kama maeneo ya msingi ya kukamata Uchumi wa kikanda na Kidunia.
Kwenye vyombo mbalimbali vya habari sasahivi, habari zinazotrend ni namna wakuu wa mashirika ya kujasusi ya Mataifa ya...
Huko Marekani chini ya utawala wa Trump wanaendelea kusogea mdogo mdogo kufanana kama tawala za China, Russia, Korea Kaskazini na nchi nyingi za Africa ambapo bwana au bibi mkubwa namba moja hapaswi kukosolewa na ukimkosoa ujiandae kunywea kikombe cha ghadhabu na uchungu.
Comedians wawili...
Katika vitu Wamarekani wataendelea kuvijutia ni kuungana na USSR chini ya Stalin kumpiga vita Hitler, lile huenda lilkuwa kosa kubwa la kimkakati la muda mrefu. Hata kama Hitler alikuwa anawaua Wayahudi, wangemuacha kwanza au wamsaidie auangushe utawala wa USSR kisha baadaye ndipo washughulike...
Baada ya Marekani kuanza kusogeza madude kuelekea karibu na Iran, haya Uingereza nao pia wameanza maandalizi, makobaz mumeonywa siku nyingi muache ugaidi, muishi kwa amani na dunia ila mlishipaza shingoni, Israel imesambaratisha uwezo wa Iran kuzuia makombora, Sasa muda wowote tutashuhudia Iran...
Mwaka 1964 wakati wa maasi ya Jeshi la Tanzania ( King's Ruffles Army) aliyekuwa Rais wa Tanzania aliomba msaada kwa Jeshi la Uingereza kuja kumuokoa ambapo Jeshi la Uingereza lilituma vikosi vyake vikaingia Dar es Salaam na kumlinda Nyerere na Wananchi.
Miaka zaidi ya 60 tangu kutokea kwa...
Moderator ni silaha za maangamizi, sio nuclear
MAREKANI ALIONA AMEFANYIWA DHARAU HADI NYUMBANI KWAKE AKAITAKA VITA KWA NAMNA YOYOTE ILE:
Baada ya milipuko mbali mbali katika balozi zake ikiwemo iliopo Tanzania, baada ya kufanyiwa ukatili sebuleni kwake 2001, USA alitumia nguvu yake kwa namna...
Kufuatia hali iliyopo ya mitizamo inayowekwa wazi kipindi hiki kuliko nyakati zozote, mawaziri wa ulinzi wa Marekani na Uingereza wakiongozana na viongozi wakuu wa kijeshi wakutana ili kuondoa wasiwasi kama uhusiano wao bado upo imara.
Na pia hali ya kumaliza vita ya Ukraine na Russia kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.