mara ya mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Umewahi kula papa? Mara ya mwisho lini?

    Mi sikumbuki lini ni kama mwaka Sasa. Kinachonifanya nsipende sana ni shombo yake.dizaini naifananisha na mk*j*..Ina shombo Kali nisamehewe😒 Pili ni chumvi nyingi sana. Mie asili yangu ni pwani,hiyo ni kitu pendwa kule.wanapenda kavu au na muhogo.mhogo wa nazi au ugali wake wanaita bada. Na pia...
  2. JamiiForums Tanzania Umepumzika lini mara ya mwisho? Ukaona "hapa kweli nimehema"

    Leo, baada ya muda usio na jina, nimelala mchana...nikaona uuuuuuf...mwili unasema "shukrani" Si afya kutokutuliza akili, nafsi na mwili. Hata hivyo kuna wakati hauna jinsi, nami nimekuwa kwenye "hakuna jinsi" kwa muda usio na jina, na huu mwezi uliopita ilikuwa kama kupita kwenye tanuri...
  3. JamiiForums Tanzania 2015 ndio ilikuwa mara ya mwisho Tanzania kuwa na uchaguzi, tusichanganyikiwe

    Tutaongea yote ila mara ya mwisho Tanzania kuwa na uchaguzi mkuu au serikali za mitaa ni mwaka 2015. Kumuhusudu na kumkubali aliyesababisha hali hii yote ya sasa huku unamlaani na kumkosoa mrithi na mwanafunzi wake ni sawa na kuchanganyikiwa na kuwa bumunda.
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kimara Kilungule mara ya mwisho tulipata maji ya DAWASA Oktoba 30, 2025

    Mimi ni Mkazi wa Kimara Kilungule kwa Mkua. Kero yangu inahusu DAWASA mara ya mwisho maji kutoka ilikuwa tarehe 30/10/2025. Je, ni kwamba hii mamlaka imetusahau kabisa? Maana tuliambiwa mgao wa maji umeisha tumesubiria lakini wapi, je hii huduma kwetu ndiyo basi? Napata tabu sana nanunua ndoo...
  5. JamiiForums Tanzania Mara ya mwisho kuenjoy mapenzi ni pale nilipokutana na bar maid wa kimasai

    Yule bar maid ameniachia gundu kusema ukweli aisee kwanza alikuwa na shape amejazia kwenye hips aisee si mnene ni model fulani hivi ila alikuwa amejazia kwenye hips aisee yule bar maid tulienjoy sana malavi davi mpaka nilikuwa dau ya zaidi ya lile tulioahidiana aisee na sijui yule mmasai mapenzi...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia nakutahadharisha kwa Mara ya mwisho, Tanzania sio kisiwa

    Nimsikiliza Samia kwa umakini mkubwa lakini naomba nimwambie kuwa amemwaga petrol kwenye Moto. Tanzania sio kisiwa Tanzania haina uwezo wa kuzalisha na kujiuzia na kujitegemea Kama ilivyo Urusi na uchina Tanzania sio kisiwa utalii peke yake unatengeneza trion 10 kwa mwaka. Tuna import karibu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuadimika kwa Vipepeo, Mara ya mwisho kuona kipepeo lini ?

    Sina kumbukumbu kabisa mara ya mwisho kuona kipepeo, watoto wengi sikuhizi wanamjua kwa picha na kumuimba lakini hawajawahi kumuona kwa macho yao
  8. JamiiForums Tanzania Shikamoo mama mara ya mwisho ulienda Sumbawanga mwaka 1997?

  9. JamiiForums Tanzania Wewe unayehonga, mara ya mwisho kula kuku mzima aliyechomwa ilikuwa lini?

    Wewe kijana unayehonga fedha zako kwa wadada/wamama, siku ya mwisho kula peke yako kuku mzima wa kienyeji aliyechomwa ilikuwa lini? Kama hukumbuki au hujawahi, chukua hatua mapema, jipende kwanza vingine vitakuja kwa ziada. Kama umezaliwa kuja kutatua kero za hao wadada/wamama, kazi kwako...
  10. JamiiForums Tanzania Mara ya mwisho ulilia lini? sababu gani ilipelekea ukalia?

    Kwema wakuu. KUNA MAMBO HUTOKEA maishani yanapelekea tutokwe machozi ya huzuni,furaha na hata hasira. Wengine huenda mbali sio tu kutokwa machozi, wao wanabubujikwa machozi wanalia haswa. Ajali ya leo iliyotokea Same imenihuzunisha sana, sana nimejikuta natokwa machozi automatically...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…