Jana ndiyo nimeamini ni heri utupe nyavu halafu ukataliwe kuliko kuishi na majuto baada ya kutotupa nyavu.
Jana nilikuwa nasafiri kutoka mkoa X kwenda Z kwenye basi nilikaa na binti mmoja alikuwa mchangamfu kweli, tulipiga stori za hapa na pale mpaka alipofika anaposhukia, alikuwa anashukia...