Usione aibu kwa HUSTLE zako. kuuza nguo, kuuza chakula, kuuza vipodozi, kuuza kuku, kuuza chaja za simu, kufanya kilimo, kufanya muziki, kuwa mchekeshaji nk.
Usione aibu jinsi unavyotengeneza pesa, Ni njia ya kujikimu. Usiruhusu kazi/hustle zako zikunyime furaha yako. Unafanya kazi ili uishi...