mapajani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Nilipanda basi la usiku kulekea Bukoba, nikalala mapajani kwa mkaka, nilienjoy sana

    Utamu wa safari za usiku kwa kutumia mabasi "Nilisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Bukoba kwa basi. Tuliondoka stendi majira ya saa 10 jioni. Bahati nzuri nilikaa siti moja na kijana aliyekuwa mwenye upole na mwenye sura ya kuvutia. Baada ya usiku kuingia, nilisinzia. Akiwa anaona nimelala...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kuamka ukiwa umechanjwa shingoni (imezungukwa yote) mbavuni na mapajani Ina maana gani?

    Dogo yamemkuta hayo mambo mara kadhaa jamani. Ni uchawi wenye tafsiri gani huu?!!!! Mbona maisha yanakera namna hii!!!!!!😡😡😡😡
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Its okey ni maisha yako ndugu, lakini hauwezi nishawishi kidume nivae vipensi vifupi vya kubana mapajani alafu vina rangi mara ya pink sijui dhambarau

    YANI MWANAUME UNABANA MAKALIO NA MAPAJA🤡🤡 Kuna wakati wanawake waliwafukuzia wanaume katika fashion zilivyo za kiume, Ila leo vijana wa kiume sasa ndio wanafukuzia kuvaa fashion za kike. Hawa ndio wale wanakujaga na nyuzi humu wanaandika "wakuu mke wangu ananigombeza kama mtoto, nifanyeje?"...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kubabuka mapajani

    Habari wanaJF Hivi karibu nlienda Moshi safari kikazi nikakaa wiki maji niliyoogea kule ni ya magadi na haikuwa tatizo. Ila baada ya kurudi nawashwa mapajani na tezi dume ikifuatiwa na kubanduka kwa ngozi (peeling) kama inavyoonekana kwenye picha. Sijadate na mwanamke yeyote wala kula cha mtu...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kubanduka ngozi (skin peeling) mapajani

    Habari wanaJF Hivi karibu nlienda moshi safari kikazi nkakaa wiki maji nliyoogea kule ni ya magadi na haikuwa tatizo. Ila baada ya kurudi nawashwa mapajani na tezi dume ikifuatiwa na kubanduka kwa ngozi (peeling) kama inavyoonekana kwenye picja. Sijadate na mwanamke yeyote wala kula cha mtu toka...
  6. Jsam1995

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natokwa na vipele vikavu kwenye mapaja na matakoni

    Jamani wazima nashida naombeni msaada wenu natokwa na vipele vikavu kwenye mapaja na matakoni na miguuni tatizo ni nn?
Back
Top Bottom