manukato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Nahitaji Manukato wadau

    Samahani wadau wenzangu, natambua kuna uzi wa pafyumu mbalimbali humu lakini nilivyoupitia nimeona nyingi za mle ni bei kali. Wengine sisi walamba nyau kumudu ni kazi. Ombi langu kwenu ni aina gani ya pafyumu kwa mwanaume kijana isiyozidi elfu 15 au 20 angalau ina uzuri fulani naweza nikanukia...
  2. LUCKSON MNYENGU

    JamiiForums Anayelifahamu ua hili zuri la manukato

    Ua zuri lenye harufu ya kuvutia mi nalifahamu kwa jina la KILUA, haya maua nayaona sana maeneo ya pwani ebu wanayoyafahamu wanieleweshe zaidi kuhusu huu mti unaotoa haya maua.
  3. Myahudi Jr II

    JamiiForums Tuheshimu Watu hata kwa Manukato Watumiayo

    1.3m
  4. JITU LA MIRABA MINNE

    JamiiForums Anayetumia pafyumu/manukato romantic inayobamba watu anitonye shemej yenu ameniagiza nimpelekee kuruthumu tu

    Nahitaji kujua pafyumu zingine zinazoizidi ubora na uromantic wa hii kuruthumu. Binafsi siifahamu sijawahi kutumia naomba uzoefu toka kwenu wazee wa baraza.
Back
Top Bottom