FEBRUARI 8, 2017, ilikuwa Jumatano. Paul Makonda, wakati huo akiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, alitaja orodha ya aliowatuhumu kuwa vigogo wa biashara ya dawa za kulevya Tanzania.
Ilikuwa kutaja majina zigzaga. Taifa likazizima. Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima ndani...