manjale magambo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    GE2025 UVCCM Geita watoa masaa 24 kwa vyombo vya usalama kumtafuta mwenyekiti wao aliyetekwa Ndugu Manjale Magambo

    Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Geita umesikitishwa na kulaani vikali kitendo cha kutekwa kwa Mwenyekiti wa Mkoa, Ndugu Manjale Magambo, kilichotokea usiku wa saa tatu, tarehe 24 Oktoba 2025, katika makazi yake yaliyopo eneo la Bombambili, Geita Mjini. Taarifa tulizonazo zinaeleza kuwa...
  2. 100 others

    GE2025 Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wa Geita na Mtia nia wa Ubunge jimbo la Geita mjini Manjale Magambo adaiwa kutekwa

    Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wa Geita na Mtia nia wa Ubunge jimbo la Geita mjini Manjale Magambo Ametekwa jana 24 October 2025 saa tatu Nyumbani kwake maeneo ya Bombambili. Simu yake ilituma Masseji za maandamano kwa watu zaidi ya 2000 inasemekana alifanyiwa figisu kwenye ubunge sasa analipa...
  3. R

    GE2025 Mwenyekiti UVCCM Geita: Vijana Geita wana imani na Rais Samia, Kuna baadhi ya wahuni wanataka kuandamana Oktoba 29

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita, Manjale Magambo,amewahimiza wananchi kupiga kura, Oktoba 29 Akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika kata ya Bukoli, Magambo amesema vijana wa Mkoa wa Geita wamejipanga kwa ajili ya kwenda kupiga kura kwa amani...
  4. DuaZaMama

    PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Geita Manjale Gambo achukua fomu nafasi ya Ubunge Geita Mjini

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Manjale Magambo amechukua fomu kuomba uteuzi wa kuwania ubunge katika Jimbo la Geita Mjini. Magambo amekabidhiwa fomu hiyo Juni 28,2025 na Katibu wa CCM Wilaya ya Geita, Michael Msuya.
  5. upupu255

    PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Geita, Manjale Magambo: Ukipigwa kwenye Kura za maoni usikimbie, baki ujenge Chama chetu

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita, Manjale Magambo, amewataka wanachama wa chama hicho kutokata tamaa au kununa pale wanaposhindwa kwenye kura za maoni. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread...
  6. Mkalukungone Mwamba

    LGE2024 Mwenyekiti wa UVCC mkoa wa Geita: Uchaguzi huu tunakwenda kuzika upinzani

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (CCM) Mkoa wa Geita , Manjale Magambo amesema uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajia kufanyika Novemba 27 Mwaka huu wanauita ni Uchaguzi maalumu ambao utakwenda kuvizika vyama vya upinzani. Soma Pia: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara...
Back
Top Bottom