Kuna tozo zinazodaiwa kuwa ni za usafi wa mazingira, ambapo kiwango cha malipo kinatofautiana kulingana na aina ya biashara. Hata hivyo, wanaokusanya tozo hizi hudai ni kwa ajili ya usafi wa mazingira na huduma ya ukusanyaji wa taka kwa kutumia magari ya manispaa, ilhali huduma hizo hazitolewi...