manispaa ya kigamboni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    Watumishi 11 wa Manispaa ya Kigamboni kortini kuisababishia TAMISEMI hasara ya Milioni 169

    Wafanyakazi 11 wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kigamboni wakikabiliwa na mashtaka mbalimbali, yakiwemo ya uhujumu uchumi na kusababisha hasara ya Shilingi 169,617,520 kwa Ofisi ya Rais – TAMISEMI. Kesi hiyo imetajwa leo, Juni 24, 2025, mbele ya...
  2. Mkalukungone Mwamba

    Waziri Mkuu aagiza kufikishwa mahakamani kwa maafisa wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni kwa tuhuma za ubadhirifu

    Haya sasa Waziri Mkuu ameanza kazi yake leo ameshalamba vichwa vinane vya watumishi huko Kigamboni akitaka wafikishwe mahakamani mara moja. ============================ Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameelekeza kufikishwa mahakamani mara moja kwa maafisa wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya...
  3. Ustadh tongwe

    Kitengo cha mipango Miji Manispaa ya Kigamboni wanakwamisha leseni nyingi za biashara zinazotakiwa kuanzia kwao

    Hii idara ya mipango miji manispaa ya Kigamboni imekua kero sana tangu wapewe madaraka ya kupitisha baadhi ya leseni za biashara. Mimi nimeomba leseni ya guest house ambayo lazima ianzie mipango miji lakini Sasa hv Ina mwezi mzima hawajapitisha Wala kunambia tatizo nini mpaka hawapitishi maombi...
  4. E

    Waziri wa ardhi, tulilipia viwanja mwaka 2023 manispaa ya Kigamboni mpaka sasa bado hatujapewa hata kuviona. Je, hii ni sawa?

    Kwako WAZIRI wa ARDHI, ndugu Jerry Slaa Mwaka Jana 2023, miezi ya kukaribia mwisho wa mwaka yalitoka matangazo katika wilaya ya Kigamboni, kuhusu mradi wa viwanja maeneo ya Pemba mnazi. Masikini mimi nilibahatika kupata fomu ya kiwanja kidogo, kulingana na kipato changu. Kwa bahati nzuri...
  5. B

    Plot4Sale Kiwanja Kigamboni Title Deed, Urgent sale

    Wakuu nina kiwanja Changu Kigamboni (Clean Title Deed) 469 Sqm, kipo Barabara Tasaf ukitokea Dar es Salaam Zoo. Block S, Chekeni Mwasonga. Barabara za Mtaa zipo Full Draft. Nakiuza Kwa 8M Tzs. , pM kama upo interested Asante.
  6. Shark

    Manispaa ya Kigamboni mnaonaje mkaanzisha mnada wa Mbuzi/ Nyama Choma hata Kila Jumamosi

    Wakati serikali ikiwa haina akili tena ya kupata vyanzo vya mapato na kuishia kwenye kuweka Tozo mpk za Ndoa, ni wakati mwafaka sasa Manispaa kupitia think tank wao wakabuni vyanzo ambavyo havimuumizi mwananchi. Serikali ilipochukua vyanzo vyote vya Manispaa walibuni uwepo wa Stendi za magari...
Back
Top Bottom