Mtuhumiwa anaweza kurejeshwa Tanzania kutoka nje ya nchi kwa makosa makubwa kama uhujumu uchumi, rushwa, ugaidi, au mauaji endapo masharti ya kisheria yatatimia:
1. Extradition Act, Cap. 368 (Tanzania): Kosa lazima liwe la jinai pia katika nchi anakoishi mtuhumiwa (dual criminality).
2. First...
Tanzania haina wajinga na watu wenye fikra fupi na wala hawatakaa wawepo.
Kama kuna mtu anadhani anaweza kukaa ughaibuni huko na kuposti mtandaoni eti wenzake waingie mtaani siku na saa fulani kuandamana kisha yeye atumiwe klipu kuposti huku akiwa anapunga upepo na kunywa sharubati basi...
Ni wazi ukipita kwenye mitandao ya jamii hasa X, JF na FB unaweza kudhania Samia hapati hata kura 100. Lakini maisha kwa ground ni tofauti kabisa. Ni wakati sasa Mange Kimambi na Polepole wajitathmini. Watanzania hawadanganyiki, kazi ya Samia wanaiona. Njooni mniue
Kwa siku za hivi karibuni tumeona polepole anafanya press Kama zile za mange kimambi kwa lengo la kupata kiki bila kuelewa kuwa Watanzania walishaashana na upotoshaji wa Mange kimambi zamani sana.
Tanzania si sehemu ya kupotosha au kupiga UMBEA kwa habari zisizo na ushahidi, watu wameshaelemika...
Zoezi lilianza June 3 2025. Hapa ninaleta summary ya kudikia leo 18/06/ 2025 kutoka mtandao wa www.hyperAuditor.com
Mwambieni Mange Kimambi afanye yake, aachane na Watanzania. Maana badala ya kupunguza followers, hawa wasanii/ watu maarufu wote wameongeza idadi ya followers.
Akuna cha bwana mpya Wala nini . hamisa kawa weza mashilawadu wa tz. Kumbe alikuwa anatafuta attention ya nyimbo.
Yule jamaa mcheza nondo ya kikapu katumika kama video visk .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.