Wakuu,
Sheikh Sharifu Firdaus Al qadiri anatema cheche, lakini ajabu ameshindwa kukemea namna ambavyo Serikali imekaa kimya kwa Matukio maovu ya utekaji na watu kuuliwa pamoja na ufisadi unaofichuliwa na wakina Mange dhidi ya Serikali ya huyo Samia, yeye amekazia matusi na Maadii ya Kitanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.