mamlaka

Al-Mamlaka (Arabic: المملكة‎, romanized: Al-Mamlakah, literally "The Kingdom") is a Jordan-based public broadcaster based in Amman, Jordan, established by a 2015 bylaw. It was launched on 16 July 2018. The TV channel is state-funded and offers public broadcasting services – it is neither state-owned nor commercial.

View More On Wikipedia.org
  1. Licha ya Mapungufu, Sheria Mpya ya Uchaguzi Pia ina Mazuri Yake!, Imerejesha Mamlaka ya Uchaguzi kwa Wananchi, Hakuna Kupita Bila Kupingwa!.

    Wanabodi, Hili ni bandiko mwendelezo wa three series za uchambuzi wangu wa sheria mpya ya Uchaguzi, 2023. Kama hukuona 1st series, anzia hapa Asante Rais Samia kwa Muswada huu. Umuhimu wa mabadiliko ya Katiba kabla ya Sheria hii bado ni muhimu sana. Huu ni uchambuzi Wangu - Part 1 kisha uje...
  2. CPJ: Mamlaka za Burkina Faso zihakikishe usalama wa mwandishi wa habari Boureima Ouedraogo kutokana na vitisho vya kutekwa nyara

    Mamlaka nchini Burkina Faso inapaswa kurejesha agizo la kuwajumuisha kijeshi waandishi wa habari Issaka Lingani na Yacouba Ladji Bama na kuhakikisha usalama wa mwandishi wa habari Boureima Ouedraogo kutokana na vitisho vya kutekwa nyara, Kamati ya Kulinda Waandishi wa Habari ilisema Jumatano...
  3. Mamlaka za Uteuzi wa Viongozi zinadhihirisha wazi kuna tatizo kwenye utaratibu wa "Vetting"

    Kwa muda wa miaka 3 ya utawala wa Rais Samia, kumekuwa na Teuzi na Tenguzi au kubadilishwa kwa nafasi za Kiutawala kwa wanaoteuliwa na wakati mwingine bila hata kuelezwa sababu. Samia amekuwa akiteua na kutengua au kuwarejesha watu walioondolewa kazini kwa sababu mbalimbali. Na wapo ambao...
  4. Mamlaka 05 za waumini wa kawaida kabisa zilizoporwa na watumishi

    1: UKUHANI WA KIFALME Kila muumini ni Kuhani na no mfalme chini ya mfalme mkuu Mungu Muumbaji. Kuhani kwa maana ya kazi ya kuwapatanisha wasiomjua Mungu na Mungu wao. Mfalme wa maana hamilikiwi na mtu au vitu ameubwa kumiliki huku anamilikiwa na Mungu tu. Viongozi wanabaki na heshima yao ya...
  5. Bandarini Dar: Madereva wa Malori wamegoma kutokana na utendaji mbovu na system ya TPA

    Kwa habari za kuaminika nikwamba kwasasa kuna mgomo unaendelea TPA Terminal II (TICTS) Madereva wamegoma kutokana na utendaji mbovu na system ya TPA kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi kutoka TPA I na TPA II. Mamlaka ziseme ukweli na zitafute ufumbuzi haraka wa hili tatizo. Kuzuia waandishi wa...
  6. A

    DOKEZO Viongozi hawa Mamlaka ya Maji Singida (SUWASA) ni tatizo, Waziri Aweso sikia kilio chetu Watumishi

    Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) ni Taasisi ya Serikali inayotoa huduma ya maji safi katika Mkoa wa Singida kwa zaidi ya miaka 20 sasa, ipo chini ya Wizara ya Maji inayoongozwa na Waziri Jumaa Aweso. SUWASA inaongozwa na Mkurugenzi Mtendaji, Sebastian V. Warioba...
  7. Mamlaka husika mnatambua jinsi wafanyabiashara maduka ya rejareja wanavyoibiwa sukari, ngano na sembe katika maduka ya jumla wilayani Bunda?

    Wanajamvi wakati tunaendelea kumuona Makonda akiendelea kuuwasha moto na kuendelea kuwa man of the match kuna kitu nimekibaini....! Maduka mengi ya jumla(wholesale) hapa wilaya ya Bunda yananyonya sana wafanyabiashara wadogo wadogo(wa rejareja),ila mbinu wanayotumia ni kali sana...
  8. Rais Samia ateua Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kama ifuatavyo:- Amemteua Dkt. Jones A. Killimbe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano...
  9. Baada ya Vuta Nikuvute Hatimaye KADCO Yakabidhi Uwanja wa Ndege Kilimanjaro kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini (TAA)

    Kiwanja cha Ndege cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KIA) kimekabidhiwa rasmi kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini (TAA) kutoka kwa iliyokuwa Kampuni ya Uendelezaji na Uendeshaji Kiwanja cha Ndege cha Kilimanjaro (Kadco) baada mkataba wa uendeshaji kukamilika Novemba 9, mwaka huu...
  10. Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) Yatahadharisha Uwepo wa Mvua Kubwa Dar es Salaam, Tanga, Pwani na Mafia Jumapili, 12 Novemba 2023

    Mamlaka ya Hali ya Hewa TMA imetahadharisha uwepo wa mvua kubwa kwa Jiji la Dar es Salaam kwa siku ya kesho, Jumapili Novemba 12 2023. Utabiri wa TMA unaonesha mvua hiyo itakayoenea hadi katika baadhi ya maeneo ya mikoa ya Tanga, Pwani ikijumuisha visiwa vya Mafia na mikoa ya Lindi pamoja na...
  11. Kujaza abiria hususan daladala na mwendokasi mamlaka inazingatia afya au magonjwa kuambukizwa kwa njia ya hewa?

    Kwa jiji letu Dar es salaam inaonekana kawaida daladala au mwendokasi kujaza watu kupita kiasi kwa sababu ya haraka au usafiri kubwa mgumu tunaweza kuweka juhudi kupambana na magonjwa ya kuambukizwa kwa njia ya hewa kwa gharama kubwa lakini tahadhari zinapuuzwa kila siku unapata taarifa kifua...
  12. Tatizo la kukosekana kwa Usd nchini! Mamlaka husika zina Habari?

    Kuna Tatizo kubwa la uwepo wa fedha Za dola nchini! Serikali imepiga kimya! Ni nini kifanyike?
  13. Kusubiri marekebisho ya Taarifa za NIDA kwa zaidi ya miezi mitatu ni uzembe wa Mamlaka

    Watanzania tunaofanya marekebisho ya Taarifa za Kitambulisho cha NIDA kuna mlolongo mrefu na gharama kubwa lakini bado pia taarifa hazirekebishwi kwa zaidi ya miezi mitatu. Wengi tunafahamu kuwa kuwa na kitambisho cha Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ni jambo muhimu na linarahisisha...
  14. Uteuzi: Rais Samia ateua Mabalozi pamoja na kuvunja Bodi ya TCRA

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi na kuvunja bodi kama ifuatavyo: 1. Amemteua Balozi James Gilawa Bwana kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Afrika kusini. Balozi Bwana anachukua nafasi ya Balozi Meja Jenerali Gaudence...
  15. Mamlaka ya Misitu (TFS) yatoa ufafanuzi kuhusu zoezi la kuwahamisha Waliovamia Msitu wa Mgori

    Baada ya memba wa JamiiForums.com kulalamikia mchakato wa kuwaondoa Wananchi walio ndani ya Hifadhi ya Msitu wa Mgori mamlaka zimejibu na kutoa ufafanuzi, soma hapa hoja ya Mdau - Watu wanaodhaniwa Askari wa Polisi na Maafisa Msitu wawapiga Wananchi, kuchoma moto makazi na mazao Wilaya ya Chemba...
  16. Rais Samia aipongeza Yanga kwa ushindi mkubwa

    Baaada ya Derby ya Leo Mheshimiwa Rais wa Nchi Samia suluhu hassan ametoa pongezi zake kwa Team ya Yanga kwa ushindi Mkubwa. Hii ni kupitia Account yake ya Mtandao wa (x) Alikua Mbowe siku ya Kule Rwanda Leo Samia.
  17. Hali ilivyo Kituo cha Daladala Kigamboni, inasikitisha, Mamlaka ziko wapi?

    Tunaomba jamii ione na ipaze sauti kuhusu hiki Kituo cha Daladala cha Kigamboni, ona hali yake ilivyo. Wilaya au wahusika wameshindwa kukijenga au? Kipo opposite ya Ikulu, kipo kwenye mlango wa bahari pahala ambapo ni Mjini kabisa, hali yake mbaya sana. Tunateseka mvua zikinyesha, Mbunge yupo...
  18. Mamlaka ya Hali ya Hewa yasema kipindi cha Novemba 2023 hadi Januari, 2024 kinatarajiwa kuwa na mvua nyingi

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa rasmi mwelekeo wa mvua za Msimu kwa maeneo yanayopata msimu mmoja wa mvua kwa mwaka ambayo ni mikoa ya Tabora, Katavi, Kigoma, Singida, Dodoma, Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Lindi, Mtwara, Ruvuma na Kusini mwa Morogoro. Taarifa hiyo imesema...
  19. A

    DOKEZO DC Magembe (Geita) ni muongo, anastahili kuchunguzwa na mamlaka

    Natambua kuwa wengi mmeiona hii taarifa: Geita: Mkuu wa Wilaya aagiza TAKUKURU wachunguze safari za Mkurugenzi Mamlaka ya Uteuzi inatakiwa kuwa makini na huyu DC Cornel Magembe. Ni mtu anacheza na media na anafanya hivyo kwa malengo binafsi wala si uzalendo. Zahara Michuzi alipata ruhusa kwa...
  20. Makonda huna mamlaka juu ya Mawaziri na Wakuu wa Mikoa

    Umesikika katika hotuba yako ya leo kuwa utawarukia mawaziri na wakuu wa mikoa. Nakutahadharisha wewe ni kama Ahmed Ally wa Simba au Ali Kamwe wa Yanga, huna nguvu ya kujipangia unachotaka. Una ripoti kwa Katibu Mkuu, ndiyo anakupa kitu cha kuongea.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…